RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,879
- 129,905
Kuna mahali hapo kati tulipotea njia. Inasikitisha sana.RRONDO ulipodokezea Ikarus umenikumbusha misingi ya maendeleo Nyerere aliyokuwa ameiweka. Isingekuwa predatory na sabotage measures za IMF, Tanzania tungekuwa mbali sana sasa. Ona Kenya wanavyokiona cha mtema kuni sasa? IMF siyo mjomba.