Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya Wana kila sababu ya kuuana ili Ruto atoke mana alishirikiana na Uhunye kuiba pesa nyingi sana kwa kisingizio cha reli standard, reli yenyewe ndiyo hiyo jointed. Mm nawatakia kila la heri wauane ili wapate haki yao, haiwezekani majority waishi maisha ya kimbwa alafu minority waishi kifalme.
SGR yetu ni gumzo uko ukunyan,kwenye comment za hii video nimeona maumivu ya kunyan ni makali mno
 

Attachments

  • ba02b81bd6a551a081092bef704def90.mp4
    5.1 MB
Football Nation getting professional...
IMG_20240705_111836.jpg
IMG_20240705_111747.jpg
IMG_20240705_111751.jpg
 
Reli ya Kenya haijaungwa kwa moto yn haiko welded, iko jointed mwanzo mwisho, so treni zao zinalazimika kwenda mwendo wa kobe mana speed ikifika 80 tu inapiga kelele na ikiongezeka zaidi ya hapo inaweza ikaanguka, ni reli ya standard lkn kwa miaka ile ya 1800. Washamba sana wakenya, wamepigwa kindezi sn, hata sisi tusingekuwa na rais mjanja kama Magufuli tungepigwa kama wao, mana kina Kikwete walitaka kujenga kama ya Kenya.
MGR ya tz ilo modern and comfortable than Kenyan SGR maana iko continuous welded mpaka Isaka imebaki kipande cha mwanza na kigoma tuu.
 
Suala la gdp 2023
Kwa africa nanba moja hadi kumi
1.Egypt gdp $395B
2.South Africa $377B
3.Nigeria $362
4.Algeria $239B
5.Ethiopia $162B
6.Morocco $141B
7.Sudan $109B
8.Kenya $107B
9.Angola $84B
10.Tanzania $79B
Nme note Ethiopia Wamepanda hadi sio vizuri sijajua wamefanya nn
 
Back
Top Bottom