Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Viwanda vya Kijeshi (Nyumbu, Kiwanda cha Mizinga na risasi, ila walikiua) Uganda kabeba somo vizuri.

Naweza sema hakuna viwanda vinavyoniuma kama hivi.

1. General Tyres hadi leo kina potential ya kua revenue generator wa serikali ila hawakioni wanaona kuongeza tozo ndio kupata pesa.

2. Viwanda vya Nguo (Urafiki, Mwatex, Musoma Textile) dah yaani hakuna mwendeleo sisi wa kuexport mafamba hivyo?.

3. Viwanda vya Baisikeli ya Swala (NABISCO) Naamini sasa bajaji isingekua tabu.

4. Kiwanda cha chuma (chenye kuunda kila aina ya pembejeo au chuma) mashine aliuziwa Mchungaji Rwakatare like Seriously?
Sera nyingi zilibadilishwa baada ya kufuata masharti ya restructuring ya WB na IMF, ili kupunguza gharama za kiuendeshaji. Ndiyo maana waliondoa JKT, kuacha kulisha wanafunzi mashuleni, viwanda kubinafsishwa n.k. Ukiangalia kiundani yote hiyo ilikuwa ni kutudhoofisha kiulinzi na kiuchumi.
Ikiwa kipindi cha Sakata la Dp World walitaka sheria ya Magufuli ya Permanent Sovereignty on Natural resources ibadilishwe itakuaje hivyo. Maana walishindwa kupitisha.

Hiyo sheria ya 2017 ina ipa Nchi Permanent Sovereignty, inamaanisha mkataba wa milele hauwezekani, na ikiwa muwekezaji haifaidishi nchi inaweza kuvunjwa akarudi kwao, na kushtaki ni kushitakia hapa hapa sio nje.

Sheria kama hiyo unaenda ibadili ili iweje?
Ile sheria ya sovereignty ni moja ya vitu vya kujivunia sana kama taifa. Kitendo cha awamu hii kutaka kuiondoa inaonekana wazi kuna watu wa nje wanaoshikilia remote ya viongozi wetu.
 
Na reli yetu waliiunda kwa ufanisi wa kutembea ama kuhimili 160.
Ila imeonekana inahimili speed zaidi ya hiyo 160 na katika majaribio hilo limethibitishwa.
Natamani nipate ile video niilete hapa.
Yule injinia wa reli na mkurugenzi wa miundombinu, Machibya Masanja aliwahi kusema reli imasanifiwa kwenda hata zaidi ya 200km/hr ila kwa kuanzia RTC ilinunua hizo treni za kuhumili 160km/hr
Inamaana SGR ya Kenya kumbe jointed?
Mbona MGR yetu iko welded?
Yani MGR yetu ina ufanisi kuliko SGR Kenya?
Ulikuwa hufahamu hili? kila siku hapa tunamuelimisha Reborn tkd kuwa yeli yao haiwezi kwenda speed ya 200km/hr kwa sababu ya limitations za mtetemo.
 
Yule injinia wa reli, Masanja aliwahi kusema reli imasanifiwa kwenda hata zaidi ya 200km/hr ila kwa kuanzia RTC ilinunua hizo treni za kuhumili 160km/hr

Ulikuwa hufahamu hili? kila siku hapa tunamuelimisha Reborn tkd kuwa yeli yao haiwezi kwenda speed ya 200km/hr kwa sababu ya limitations za mtetemo.
Anhaa sawa.
Na mbona treni zenyewe walizonunua speed yake ni beyond 160!?
Maana ya kwanza speed meter inasoma 180.
Ya pili 200+.
 
Barabara ya km 150 tunajenga km 3 na Barabara ya km 50 tunajenga km 3 serious hii ni Jambo la kushangilia kweli??😂😂😂😂

Kweli tutasifia panapostahiki kwa hii BIG NO
Safari 1 huanzisha nyingine.Huu umekuwa ni utaratibu wa Serikali miaka yote na ndio maana Barabara nyingi hujengwa Kwa miaka 6-12 except zile za pesa za mikopo.

Mara nyingi nimewahi pendekeza Kwa Serikali wawe wanachagua Barabara chache na wanaweza wakandarasi kadhaa Ili zimalizeike Kwa haraka na zianze Kuzalisha kuliko huu utaratibu wa Kisiasa ambao umekuwa unafanyika.

Sio tuu ni upuuzi lakini ni kama kupoteza Rasilimali na kutapanya hovyo.Hii local thinking lazima ikome.

Angalia mfano huu,Kuna Barabara ya km 50 (Matai-Kasesya(Tzn-Zambia Border) inajengwa km 25,,wakati huo huo kwenye Mkoa huo huko Kuna Barabara ya km 200 inajengwa section ya kwanza Kwa km 25 na ni Mkandarasi mmja anajenga Barabara zote 2 zilizopo ndani ya Mkoa mmja,Sasa unajiuliza Kwa nini Mkandarasi huyo asingepewa kipande Kimoja Cha km 50 Ili amalize kianze uzalishaji ndio wahamie kwingine?

Hii mentality ya kijinga lazima tubadikike.
 
Inamaana SGR ya Kenya kumbe jointed?
Mbona MGR yetu iko welded?
Yani MGR yetu ina ufanisi kuliko SGR Kenya?
Wakenya Wana kila sababu ya kuuana ili Ruto atoke mana alishirikiana na Uhunye kuiba pesa nyingi sana kwa kisingizio cha reli standard, reli yenyewe ndiyo hiyo jointed. Mm nawatakia kila la heri wauane ili wapate haki yao, haiwezekani majority waishi maisha ya kimbwa alafu minority waishi kifalme.
 
Back
Top Bottom