Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jambo la kukosa tickets sio kitu unique kijana huu wenu ni ushamba wa first time,
huwezi pata ticket ya Msa Nbo ya kesho manake tayari iko fully booked. You must book 2days prior
Either way nimependa hii conversation mmeanza manake baadae ndio tutatumia kuwakaanga.
Huo sio ushamba bro.
Bali hii inaonesha DEMAND YA TRENI NI KUBWA.
Muitiko wa watu umekua mkubwa kuliko ilivyotarajiwa.
Hivi treni yetu na yenu ipi ina mabehewa mengi??
 
Jambo la kukosa tickets sio kitu unique kijana huu wenu ni ushamba wa first time,
huwezi pata ticket ya Msa Nbo ya kesho manake tayari iko fully booked. You must book 2days prior
Either way nimependa hii conversation mmeanza manake baadae ndio tutatumia kuwakaanga.
Full booked wapi mkuu.? 🤣🤣 report zinasema in the first two weeks of our SGR operation abiria 40k walisafiri while kwa wiki ya kwanza huko kunyaland walisafiri abiria 7k (hiki ni kipindi ambacho watu wengi walikua na shauku ya kupanda train mpya), let's assume namba ziliongezeka kutoka 7k-10k passengers.

Tufanye heaabu
Abiria 7k (1st wk) +10k(2nd wk) =17k

Hii inaonyesha kwamba idadi ya wasafiri Nairobi-Mombasa (the busiest route) ni kulinganisha na odadi ya wasafiri Dar-Moro, yenye ni route ya kawaida tu, 🤣🤣🤣🤣

Nyie ni maskini sana, pesa ya kusafiri pia hamna.
 
Jamaa kanifurahisha sana aiseee.
Yani kitendo cha watu kupata msongamano wa safari inaonesha uhitaji umekua mkubwa.
Kuna wadada nilikutana nao wametokea Njombe,walisema wao wameshukia Morogoro ili wapande treni wawahi kufika Dar wapunguze masaa ya safari.
Hii inamaanisha hitaji limekua kubwa sana.
 
Lete takwimu hapa.
Maana sisi wiki hiyo hiyo ya kwanza abiria walikua wengi kiasi wengine walikosa nafasi ya treni.
Na wiki hiyo hiyo ya kwanza abiria walilalamika kuwa safari ziongezwe.
The onus is on you. Aren't you the one trying to prove the point?
 
Kama mambele hivi yaani🇹🇿🇹🇿🇹🇿🖐️

View attachment 3033112
Wakati mwingine nawaza Magu angekuwepo, kwa ile kasi yake tungekuwa wapi sasa, maana order ya hizi zinazokuja sasa, alizifanya yeye toka 2020. Wakati huo kuna order za ndege, bwawa, madaraja, sijui masoko, barabara...dah acheni aisee. Unaweza kudhani ni hadithi za alinacha.
 
Jamaa alisema angajenga nyumba 10k Dar alone.. alisema pia kipaumbele chake ni kujenga Dodoma stadia kwa mwaka wa kwanza tu akirejea madarakani. Yaani mpaka sasa tungekya na uwanja mpya already. Hii Dar ingekua yamoto mno.
 
Full booked wapi mkuu.? 🤣🤣 report zinasema in the first two weeks of our SGR operation abiria 40k walisafiri while kwa wiki ya kwanza huko kunyaland walisafiri abiria 7k (hiki ni kipindi ambacho watu wengi walikua na shauku ya kupanda train mpya), let's assume namba ziliongezeka kutoka 7k-10k passengers.

Tufanye heaabu
Abiria 7k (1st wk) +10k(2nd wk) =17k

Hii inaonyesha kwamba idadi ya wasafiri Nairobi-Mombasa (the busiest route) ni kulinganisha na odadi ya wasafiri Dar-Moro, yenye ni route ya kawaida tu, 🤣🤣🤣🤣

Nyie ni maskini sana, pesa ya kusafiri pia hamna.
Watanzania wengi wanajiweza, tatizo hatukusanyi mapato na takwimu vizuri. Njia pekee ya kupata picha ya hali halisi ndiyo kama hivi. Watu wananunua tiketi mpaka wanakosa nafasi.
 
Jamaa alisema angajenga nyumba 10k Dar alone.. alisema pia kipaumbele chake ni kujenga Dodoma stadia kwa mwaka wa kwanza tu akirejea madarakani. Yaani mpaka sasa tungekya na uwanja mpya already. Hii Dar ingekua yamoto mno.
Afrika bila kuwa na viongozi wenye roho ngumu kama Qaddafi na Magufuli hatutoki. Nayemuona kwasasa ambaye anaonekana kushika kijiti ni yule jamaa wa Burkina Faso.
 
Back
Top Bottom