The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Uchumi mkubwa sio maendeleo pimbi wewe, mbona uchumi wenu kimaandishi unaonekana mkubwa kuliko wetu, na maendeleo je?Ajabu ni kwamba kabla 2003 tanzania ilikua na uchumi mkubwa kuliko Kenya. Mambo yakaanza kubadilika baada ya Kibaki kuapishwa na mpaka Leo gap inazidi kupanuka