Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cleanest City in Africa
20240520_190904.jpg
20240520_190911.jpg

20240520_190926.jpg
 
Washamba sana wakenya, sisi tuna miradi mingi mizito mizito na wala huoni tukipost post hovyo, biggest truck assembly plant in East and central Africa ipo Tanzania na wala hatukuwa tukipost ujenzi wake mpaka wamestuka ufunguzi huu hapa wakachanganyikiwa, kule Dodoma kuna Indoor Arena inajengwa kimya kimya na hakuna picha hata moja imewekwa humu, watastukia inawekwa ikiwa full package, hizo ni dalili za developed country.
Truck assembly that is assembling 2 trucks per day ndio unaita biggest in East Africa?
 
Yaani we dogo ndio kabisa hazimo, ndio maana zamani nlidhani kuwa wewe ni demu maana comments zako kama upo kwenye period vile
Kwani ni uongo? Tanzanian trains are slower than Kenyan trains and that’s a fact.
 
Back
Top Bottom