Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

And the reason we over took them in 70's was because of the war they had with Uganda. Hio mambo wanasema eti Kenya zamani ndo ilikua juu kwa sababu ya beberu ni upuuzi wa kiwango cha juu.
Nimeanza kuona effects ya mitihani yenu ya kihistoria.
 
Takwimu zako haziko sahihi sana, na tafsiri ya ukuaji wa uchumi kwa nchi hutofautiana.

Kuna vitu vitatu tofauti, na ukivichanganya hutaeleweka.
1. Taifa lenye uchumi mkubwa. Hili halina ubishi, Kenya wana uchumi mkubwa kwa muda wote, na hilo ni jambo lenye msingi wa kihistoria, yaani ni matokeo ya misingi ya ukoloni na sera za kiuchumi za mwanzo kabisa baada ya uhuru ndio vitu vimewabeba wakenya.

2. Kukua kwa uchumi. Hili hupimwa na kutolewa takwimu zake kila mwaka. Effects zake utaziona baadaye sana na linaweza kubakia kuwa dhana zaidi kuliko uhalisia. Katika hili kati ya Kenya na Tanzania hakuna mbabe maana takwimu zake zinabadilika kila mwaka.

3. Uchumi wenye kuathiri maisha ya watu ya kila siku. Hapa hakuna ubishi, Tanzania iko mbele kwa sasa. Haikuwa hivyo hapo kabla. Kwa kifupi sana, kwa sasa na kwa miaka hii ya karibuni, Mkenya anatamani kuishi zaidi Tanzania kuliko Mtanzania kuishi Kenya kwa misingi ya kufuata maisha bora ya kila siku.
Maisha Bora ya kila siku wakati human development index tunawazidi. Ama hali ya maisha bora siku hizi hupimwa na nini
 
Interesting, Umetoa wapi data kua Tanzania independence tulikua na uchumi mkubwa kuliko Kenya, a country which was mostly plantation economy, and manufacturing virtually non existent?
What's wrong with you people and your low knowledge levels? That's interesting for a group that is forever arguing about their country's economy.
Both countries had very few industries but Tz had a sizeable mining industry.
 
Both, Dodoma na Arusha ulikuwa hujui? 🤣🤣🤣🤣Je, umekubali kuwa wewe ni Mshamba?
Where have you been ?.. under a rock?… how many times have Bongolalas posted both Arusha and Dodoma stadiums renders?… anyways , I wanna call you a retard but since it’s nowadays politically incorrect to use it, I will be generous… you are rudimental..🤣🤣
 
Source of Electricity built during colonial. Built by Queen Elizabeth. Tell us which source of Electricity built by Kenyan?
Wewe ni mpbavu tu. Kujadiliana nawe ni kupiteza muda tu.

The seven hydropower stations along Tana River ambazo ndizo kubwa Kenya zilijengwa na wazungu?

The Turkana wind power project (the largest if it's kind in Africa) ilijengwa na wazungu?

OLkaria geothermal power station (also the largest in Africa) pia ilijengwa na wazungu?

Nyinyi desperation itawaua
 
Kiuhalisia hapo zamani (kabla ya miaka ya 2000) Kenya walikuwa mbali zaidi kimaendeleo kwenye mambo mengi (elimu, afya, uchumi, biashara, kilimo, sanaa, muziki, uigizaji, miundo mbinu, bidhaa, mawasiliano, kipato, malazi, mavazi) kuliko Tanzania, lakini kwa sasa hali ni tofauti sana, watanzania wamechangamka na kupiga hatua zaidi kuliko Kenya.

Mambo yamebadilika sana.
Hao jamaa walivutwa mkono na mataifa ya west sababu walikua vibaraka wao so western waliwekeza mambo mengi ukunyan,sie wengine tumejipambania wenyewe
 
Where have you been ?.. under a rock?… how many times have Bongolalas posted both Arusha and Dodoma stadiums renders?… anyways , I wanna call you a retard but since it’s nowadays politically incorrect to use it, I will be generous… you are rudimental..🤣🤣
Sasa unataka tujenge uwanja wa mpira siku moja, imekuwa mapishi ya chai hayo 🤣 🤣 🤣 🤣 Nina wasiwasi na Education System ya Kenya. Building a stadium is a project. Au hujui?
 
Wewe ni mpbavu tu. Kujadiliana nawe ni kupiteza muda tu.

The seven hydropower stations along Tana River ambazo ndizo kubwa Kenya zilijengwa na wazungu?

The Turkana wind power project (the largest if it's kind in Africa) ilijengwa na wazungu?

OLkaria geothermal power station (also the largest in Africa) pia ilijengwa na wazungu?

Nyinyi desperation itawaua
Tueleze source zilizojengwa na wazungu zinazalisha megawatts ngapi.
 
Hakuna nchi yoyote duniani imefanikiwa kukuza utalii bila kuwepo na airline inazomiliki, faida ya kua na airline Kwanza itafata watalii kwa urahisi maana yake ni direct flight hakutakua na flights za kuungaunga,

alaf pili kuwepo na airline yako maana yake unaweza kutangaza utalii na nchi kwa ujumla kupitia ndege unazomiliki,

alaf tatu unafanya biashara hence ajira kwa wananchi zinapatikana, marubani, engineers, technicians, supervisors etc ambazo ni direct employment alaf kuna indirect employment zinazalishwa nyingi kupitia airline

Alaf nne kuna cargo business ambayo mazao yako au cash crops zako au samaki, nyama etc utaweza Kusafirisha moja kwa moja kwenye soko
Ndugu naona umekariri hapo.
Mimi nipo kwenye sekta ya utalii, nitakufundisha kitu hapa.

Kwanza fahamu hili, taifa kuwa na kampuni yake ya ndege haina maana linaweza kuhodhi kibiashara (kuzishinda kampuni zingine za ndege) ufasirishaji wa watu kimataifa wanaingia au kutoka nchini mwake.

Watalii wengi wanaokuja hapa Tz wanatokea Italy, Ujerumani, Uingereza, Uholanzi, Marekani.
Embu niambie ATCL wana ndege gani katika destination ya kutoka katika miji ya hizo nchi kuja Tanzania?

Hivi una habari Ethiopian Airlines, KLM, Qatar, Emirates wana utitiri wa ndege za kwenda karibu nchi zote duniani.

Ni mtalii gani mjinga na mpumbavu ataacha kutafuta hizo kampuni zingine ili kuifuata tu ATCL kisa anakuja Tz?
 
Now that you know Kuna zenye zilijengwa na wazungu si you make that work easy for us uteletee hiyo taarifa
Umeshindwa kutueleza zilizojengwa na wazungu? Na umekubali 80% ya source za umeme kenya zilijengwa during colonialism, basi sawa. Asante kwa kunifumbua macho.
 
Ndugu naona umekariri hapo.
Mimi nipo kwenye sekta ya utalii, nitakufundisha kitu hapa.

Kwanza fahamu hili, taifa kuwa na kampuni yake ya ndege haina maana linaweza kuhodhi kibiashara (kuzishinda kampuni zingine za ndege) ufasirishaji wa watu kimataifa wanaingia au kutoka nchini mwake.

Watalii wengi wanaokuja hapa Tz wanatokea Italy, Ujerumani, Uingereza, Uholanzi, Marekani.
Embu niambie ATCL wana ndege gani katika destination ya kutoka katika miji ya hizo nchi kuja Tanzania?

Hivi una habari Ethiopian Airlines, KLM, Qatar, Emirates wana utitiri wa ndege za kwenda karibu nchi zote duniani.

Ni mtalii gani mjinga na mpumbavu ataacha kutafuta hizo kampuni zingine ili kuifuata tu ATCL kisa anakuja Tz?
Mzee haupo kwenye utalii unatuzuga tu. 🤣 🤣 🤣 🤣 Nadhani kunademu hapo AIr Tanzania kakukataa umekuwa na hasira za kipumbavu. Tafuta pesa mzee utapata mademu wazuri tu.
 
Back
Top Bottom