ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
KMC inamilikiwa na team dandora inamilikiwa na Nani???🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dandora washabiki hawakai kwa mbao.
KMC inamilikiwa na team dandora inamilikiwa na Nani???🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dandora washabiki hawakai kwa mbao.
So far tunazo 3 CAF approved nyie munazo hata moja 🤣🤣🤣🤣 ukipata ya kusingiziwa nitag plzKuna mwenye amewakataza kufanya renovation? Ama mnangoja msaada wa mchina?
Watakuambia hii yako haina perimeter wall.🤣🤣Alafu anakuambia ati hizo shamba ni 35k capacity. Vile tu hata mimi naezakuambia ati this highschool Pitch has a capacity of 200,000😂😂🤣
View attachment 2994942
Sisi tunazo tatu approved tuonesheni yenu ambayo iko approved so far 🤣🤣🤣🤣🤣
Arusha na dodoma tunajenga other modern stadiums hio weka akilini kabisa usije kusahau😂😂😂
Alaf mulivokua mahayawani badala kujenga stadium sehemu kama Mombasa kwa ajili ya kukuza uchumi wa coast kipindi cha AFCON kiwanja munajenga Nairobi, wakat Sisi huku tunajenga mikoa tofaut tofaut
Tofauti na hule Msaada wa Mchina ebu tuambie ni gani tena iko approved😂😂😂So far tunazo 3 CAF approved nyie munazo hata moja 🤣🤣🤣🤣 ukipata ya kusingiziwa nitag plz
Dandora hakuna kukaa kwa mbao🤣🤣🤣😂KMC inamilikiwa na team dandora inamilikiwa na Nani???🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wajinga kweli kweli.😂😂🤣🤣😂.Watakuambia hii yako haina perimeter wall.🤣🤣
Where is CAF approved Stadium? 🤣 🤣 🤣 Kwanza Admit that Kenya does not have FIFA Standard Stadium.
Arusha stadium hii hapa live na mechi imechezwa Jana 🤣🤣🤣👇👇👇👇
Kaitaba stadium 2022👇👇👇👇👇Hizi sio Stadiums bwana. These arw farms.
Sokoine
View attachment 2994935
Kaitaba
View attachment 2994938
KMC inamilikiwa na team, dandora inamilikiwa na Nani??🤣🤣🤣🤣Dandora hakuna kukaa kwa mbao🤣🤣🤣😂
Narudia tena 🤣🤣🤣👇👇👇👇Tofauti na hule Msaada wa Mchina ebu tuambie ni gani tena iko approved😂😂😂
Akikuonesha hata ya kusingiziwa nitag plz🤣🤣Where is CAF approved Stadium? 🤣 🤣 🤣 Kwanza Admit that Kenya does not have FIFA Standard Stadium.
Dandora kuna seats. Stadiums ngapi ziko na seats Tanzania tukitoa hule Msaada kutoka kwa Mchina?KMC inamilikiwa na team, dandora inamilikiwa na Nani??🤣🤣🤣🤣
Haya wachukie basi Azam TV kwakutuonesha live videos na mechi zikichezwa 😂😂😂😂😂😂😂Mvulana wa chumba cha kuhara, una mazoea ya kuleta video zilizopigwa filter na kuonyesha stand zilizofunikwa na mashabiki ndio ufiche aibu wa viwanja zenu uchwara. Huu hapa uwanja wa Arusha kwa Google Maps. Hamna tofauti na alichopost Reborn Ktb . Huwa unasema mzungu hadanganyi, haya sasa, huyu hapa mzungu wa Google map. Sii Myemeni. Halafu ni kama mmelaaniwa vile na kuset stand zenu kombo na uwanja ulivyo halafu kila siku mnajikungúta humu eti mafundi wenu ndio kiboko yao.
View attachment 2994986