Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeshindwa kutueleza zilizojengwa na wazungu? Na umekubali 80% ya source za umeme kenya zilijengwa during colonialism, basi sawa. Asante kwa kunifumbua macho.
Sasa si unaona desperation that I was talking about. Hebu screenshot mahali nimesema 80% of sources za electricity Kenya zilijengwa during colonialism.

Wajinga na ma desperado wapo wengi ajabu!
 
Ndugu naona umekariri hapo.
Mimi nipo kwenye sekta ya utalii, nitakufundisha kitu hapa.

Kwanza fahamu hili, taifa kuwa na kampuni yake ya ndege haina maana linaweza kuhodhi kibiashara (kuzishinda kampuni zingine za ndege) ufasirishaji wa watu kimataifa wanaingia au kutoka nchini mwake.

Watalii wengi wanaokuja hapa Tz wanatokea Italy, Ujerumani, Uingereza, Uholanzi, Marekani.
Embu niambie ATCL wana ndege gani katika destination ya kutoka katika miji ya hizo nchi kuja Tanzania?

Hivi una habari Ethiopian Airlines, KLM, Qatar, Emirates wana utitiri wa ndege za kwenda karibu nchi zote duniani.

Ni mtalii gani mjinga na mpumbavu ataacha kutafuta hizo kampuni zingine ili kuifuata tu ATCL kisa anakuja Tz?
Unajua haya mambo kweli? Au upo kwenye utalii wa nini?


View: https://x.com/BawaAfrika/status/1793007469343412401
 
Sasa unataka tujenge uwanja wa mpira siku moja, imekuwa mapishi ya chai hayo 🤣 🤣 🤣 🤣 Nina wasiwasi na Education System ya Kenya. Building a stadium is a project. Au hujui?
So why then do you seem to have issues with our Talanta which is already under construction…. Yet you can’t say the same about yours … do you see the irony there?
 
Sasa si unaona desperation that I was talking about. Hebu screenshot mahali nimesema 80% of sources za electricity Kenya zilijengwa during colonialism.

Wajinga na ma desperado wapo wengi ajabu!
Tangu nigundue Education System ya Kenya owned by Mama Ngina, wakenya wote nawapuuza sana. 🤣🤣🤣🤣Level of your education ni sawa na watoto wadogo Tanzania. Please Update your education.

1716322346112.png
 
So why then do you seem to have issues with our Talanta which is already under construction…. Yet you can’t say the same about yours … do you see the irony there?
Ulimbukeni wenu na ushamba. lack of exposure inawasumbua sana. Ndio maana kitu kidogo tu za ka uwanja kila baada ya saa moja mnaweka picha JF. Kifusi kikibebwa na Tipper trip zote mnaweka humu JF. 🤣🤣🤣🤣 Huu ni ushamba

View: https://youtu.be/sZ420sDOumE?si=SIptmZZ7npKElAxX
 
Interesting, Umetoa wapi data kua Tanzania independence tulikua na uchumi mkubwa kuliko Kenya, a country which was mostly plantation economy, and manufacturing virtually non existent?
Kama hujui kwamba Tanzania had a bigger economy miaka za nyuma kuliko Kenya, inamaanisha tuanajadiliana na watu wasiojua hata historia ya nchi yao. Sad!!
 
Majonzi gani?

Is it not true that kenya produces more electricty than Tanzania?

Is it not true that kenya consumes more electricy than Tanzania?

Is is not true that Kenya's SGR can be electrified in it's current state?

And lastly, is it not true that treni yenu ilikwama baada ya kukatika umeme?
Kuna moja umesahau, their trains are slower than Kenyan trains.
 
Tatizo la engines limeanza hvi karibuni ndio maana hata nyinyi limewakumba mbona hujiulizi kwann Huko nyuma halikutokea kwann liwatokee SASA hvi 🤣🤣🤣🤣🤣

Tumia akili uliobarikiwa kufikiri
Uko sawa, Boeing walikuwa wamewapa tenda kampuni moja ku supply heat exchanger, Ni alloy fulani inayotengenezwa Russia. Sasa baada ya sanction ile kampuni ikashindwa ku supply tena na stock ya Boeing ilivyoisha ndiyo haya matatizo unayoyaona. 737 MAX na Dreamliner zimekubwa na tatizo hilo.

cc Rhaenyra Targaryen
 
Kama CAG, ATCL na Serikali wanasema ATCL ni hasara tupu, mimi ni nani nipinge hapo?

Upande wa pili, unapaswa kufahamu tu, hahitajiki kuwepo kwa ATCL ili wageni waingie na kutoka kwa wingi hapa Tanzania. Kuna makampuni kibao ya ndege yanafanya hizo route.
Nlipokua mdogo nliamini kila mtu anawezakua mwalimu mpaka pale nlipokutana na watu wenye kichwa kama chako ndipo nlipojua kuwa UALIMU ni WITO.

So, sina wito wakusaidia the likes of you ila ngoja nikupe homework. Ingia google utafute namna wafanyabiashara wa TZ wanavyoexport bidhaa zao na shida wanazopitia mpaka kuishia kuwauzia wakenya na exports za TZ kuhesabika kama za kenya.
Ukishindwa kuelewa anzisha thread upate msaada, kuna walimu wengi humu wenye kipaji cha kukupiga tuition.
 
Hakuna nchi yoyote duniani imefanikiwa kukuza utalii bila kuwepo na airline inazomiliki, faida ya kua na airline Kwanza itafata watalii kwa urahisi maana yake ni direct flight hakutakua na flights za kuungaunga,

alaf pili kuwepo na airline yako maana yake unaweza kutangaza utalii na nchi kwa ujumla kupitia ndege unazomiliki,

alaf tatu unafanya biashara hence ajira kwa wananchi zinapatikana, marubani, engineers, technicians, supervisors etc ambazo ni direct employment alaf kuna indirect employment zinazalishwa nyingi kupitia airline

Alaf nne kuna cargo business ambayo mazao yako au cash crops zako au samaki, nyama etc utaweza Kusafirisha moja kwa moja kwenye soko
Asante sana Professor. Huyo jamaa ndio wale wanaodhani kununua gari la kutembelea ni anasa since kuna public transport.
So, achana nae asikupotezee muda. Preserve your energy kwa spanner za maana, tunakutegemea.
 
Best education system in Africa…. Prepared me well for my future… American system was a piece of cake for me due to the solid foundation i received in Kenya…And if I ever become the President of Kenya, I will claim back Kilimanjaro and make the oceanic border straight equivalent to our Somali border, meaning you gonna loose half of Pemba…remember this…🤣🤣🤣
Wakenya wote wana dream ya kuwa president mpaka waendesha mikokoteni, mko hovyo sana na ndiyo maana hamna adabu, education (edakashoni) system yenu ni mbovu kabisa.
 
Majonzi gani?

Is it not true that kenya produces more electricty than Tanzania?

Is it not true that kenya consumes more electricy than Tanzania?

Is is not true that Kenya's SGR can be electrified in it's current state?

And lastly, is it not true that treni yenu ilikwama baada ya kukatika umeme?
Kuna majibu mengi sana kwenye maswali yako na upo humu muda sana so, nina uhakika usingeuliza hayo maswali kama ungekua na kumbukumbu nzuri.
So, sioni haja ya kukuharibia matumaini yako. Its good for your health.
 
Back
Top Bottom