Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukonesha kutoka kenya nafunga Account yangu 🤣🤣🤣🤣Nyie ni washamba wa kutupwa. Very small project all kenyans macho yote pale. Tanzania we have billions of billions projects. Wakenya washamba sana 🤣🤣🤣🤣
Narudia, Onyesha Modern 60k capacity football specific stadium nifunge account.
 
So now you are running away from stadium construction to hide behind the tag of general projects… kweli wewe ni Primary school drop out…walahi!..🤣
So unataa kila second tuoneshe project yetu ya ujenzi wa viwanja vya Dodoma na Arusha? 🤣 🤣 🤣 🤣 Exposure inawasumbua sana.
 
😂😂😂😂 yaani Hassan Duale anaingia kwenye excavator akiwa kwenye red carpet😂😂🚮
20240521_204136.jpg
 
Wanaosema ATCL inamake loss hawajui Magufuli aliona nini. Hii report fupi ukiconnect dots unagundua bora imake loss kuliko kutokuwepo kabisa.

View: https://www.youtube.com/watch?v=Ejl5ceDH5R8

Kama CAG, ATCL na Serikali wanasema ATCL ni hasara tupu, mimi ni nani nipinge hapo?

Upande wa pili, unapaswa kufahamu tu, hahitajiki kuwepo kwa ATCL ili wageni waingie na kutoka kwa wingi hapa Tanzania. Kuna makampuni kibao ya ndege yanafanya hizo route.
 
Narudia, Onyesha Modern 60k capacity football specific stadium nifunge account.
Please tag me akirundi na actual answer…he will just take you on a goose chase… it’s hard to argue with a foolish person coz they will drag you to the bottom where they dwell and then beat you with experience 🤣🤣🤣
 
Because there are fewer of us here. Hivi wewe ukaishi Nairobi utaanza kuchokozana na Wabongo wenzako ugenini? Pale twitter, Facebook na social media zengine Wakenya tunatibuana tu hata rais wetu hatumuachi ila tukichokozwa tunakuwa kimoja.
Fewer? Kwa hiyo huku unakaza shingo ila twitter unaenda kulalamika na kurarua watu, hii ni personality gani?.
 
Back
Top Bottom