Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇

The East African ni gazeti la Afrika mashariki pimbi wewe.
 
Ila mbona unawekaga mihemuko humu?

Sijawahi ona mnatibuana humu like tunavyotibuana.
Because there are fewer of us here. Hivi wewe ukaishi Nairobi utaanza kuchokozana na Wabongo wenzako ugenini? Pale twitter, Facebook na social media zengine Wakenya tunatibuana tu hata rais wetu hatumuachi ila tukichokozwa tunakuwa kimoja.
 
Kiuhalisia hapo zamani (kabla ya miaka ya 2000) Kenya walikuwa mbali zaidi kimaendeleo kwenye mambo mengi (elimu, afya, uchumi, biashara, kilimo, sanaa, muziki, uigizaji, miundo mbinu, bidhaa, mawasiliano, kipato, malazi, mavazi) kuliko Tanzania, lakini kwa sasa hali ni tofauti sana, watanzania wamechangamka na kupiga hatua zaidi kuliko Kenya.

Mambo yamebadilika sana.
 
We acha ujinga unadhani wajeda waondoke kule Congo alafu asumbuliwe mwisho pasikalike Tanzania ikose mizigo ambayo inaongeza pato kwa kupitia bongo port.

Na Mozambique unajua wanasaidia kiasi gani kusini kuwe na utulivu hadi gesi iendelee kuchimbwa, makaa ya mawe, kilimo cha chakula?.

Pia jeshi letu linahitaji modern equipment kama UAV drones maana MRLS zetu nazo zifanye kwa ufanisi tuache kuharibu bombs.

Usalama ni kitu cha kwanza kwa nchi maana ukivurugika ndio hivyo mengine hayaendi.
Wewe nae ni punguani na mropokaji,wapi nimesema Waondoke?
 
Kiuhalisia hapo zamani (kabla ya miaka ya 2000) Kenya walikuwa mbali zaidi kimaendeleo kwenye mambo mengi (elimu, afya, uchumi, biashara, kilimo, sanaa, muziki, uigizaji, miundo mbinu, bidhaa, mawasiliano, kipato, malazi, mavazi) kuliko Tanzania, lakini kwa sasa hali ni tofauti sana, watanzania wamechangamka na kupiga hatua zaidi kuliko Kenya.

Mambo yamebadilika sana.
Ajabu ni kwamba kabla 2003 tanzania ilikua na uchumi mkubwa kuliko Kenya. Mambo yakaanza kubadilika baada ya Kibaki kuapishwa na mpaka Leo gap inazidi kupanuka
 
angalau hata wanasema na wanajadili fedha raisi wao anazofuja kwa safari, tanzagiza hakuna mtu anayejua chochote hata raisi na msululu wake wanafuja kiasi gani …
Hilo la wanasiasa wa Kenya kuanza kulishikia bango suala la matumizi ya ovyo ya pesa kwa viongozi wao katika kusafiri nimelipenda na jambo zuri. Ajabu ni kule kuona mkenya anakuja hapa JF na kusema haoni shida kwenye huo ufujaji kisa viongozi wa Tanzania nao hufanya! It does not make sense at all.
 
Ajabu ni kwamba kabla 2003 tanzania ilikua na uchumi mkubwa kuliko Kenya. Mambo yakaanza kubadilika baada ya Kibaki kuapishwa na mpaka Leo gap inazidi kupanuka
This is something many Tanzanians seem to forget.
At independence, Tanzania had a bigger economy than Kenya. Kenya overtook Tanzania in the 1970s. Tanzania then overtook Kenya in the 80s and remained ahead of Kenya until 2005 when Kenya overtook Tanzania. Hizi hadithi zao za eti mzungu alituwachia uchumi mkubwa ilhali wao wamefanyia uchumi wao kazi ni potovu.
 
Waache ufala wachukue dhahabu na almasi kufidia hilo deni, waache mambo ya ujamaa wapuuzi hao.
Kweli aisee,watatumiaje pesa zote hizo Bure? Ujinga wa kina Baba wa Taifa hauna maana zama hizi,eti Waafrika wote ni ndugu,undugu uwepo kwenye shared maslahi.
 
Ajabu ni kwamba kabla 2003 tanzania ilikua na uchumi mkubwa kuliko Kenya. Mambo yakaanza kubadilika baada ya Kibaki kuapishwa na mpaka Leo gap inazidi kupanuka
Takwimu zako haziko sahihi sana, na tafsiri ya ukuaji wa uchumi kwa nchi hutofautiana.

Kuna vitu vitatu tofauti, na ukivichanganya hutaeleweka.
1. Taifa lenye uchumi mkubwa. Hili halina ubishi, Kenya wana uchumi mkubwa kwa muda wote, na hilo ni jambo lenye msingi wa kihistoria, yaani ni matokeo ya misingi ya ukoloni na sera za kiuchumi za mwanzo kabisa baada ya uhuru ndio vitu vimewabeba wakenya.

2. Kukua kwa uchumi. Hili hupimwa na kutolewa takwimu zake kila mwaka. Effects zake utaziona baadaye sana na linaweza kubakia kuwa dhana zaidi kuliko uhalisia. Katika hili kati ya Kenya na Tanzania hakuna mbabe maana takwimu zake zinabadilika kila mwaka.

3. Uchumi wenye kuathiri maisha ya watu ya kila siku. Hapa hakuna ubishi, Tanzania iko mbele kwa sasa. Haikuwa hivyo hapo kabla. Kwa kifupi sana, kwa sasa na kwa miaka hii ya karibuni, Mkenya anatamani kuishi zaidi Tanzania kuliko Mtanzania kuishi Kenya kwa misingi ya kufuata maisha bora ya kila siku.
 
This is something many Tanzanians seem to forget.
At independence, Tanzania had a bigger economy than Kenya. Kenya overtook Tanzania in the 1970s. Tanzania then overtook Kenya in the 80s and remained ahead of Kenya until 2005 when Kenya overtook Tanzania. Hizi hadithi zao za eti mzungu alituwachia uchumi mkubwa ilhali wao wamefanyia uchumi wao kazi ni potovu.
And the reason we over took them in 70's was because of the war they had with Uganda. Hio mambo wanasema eti Kenya zamani ndo ilikua juu kwa sababu ya beberu ni upuuzi wa kiwango cha juu.
 
Mwaka wa 2010 tulinunua dreamliner 10 kwa pamoja. Ukiona tunawacheka jinsi mlivyo excited over kamtumba kamoja unadhani tunacheka bure?

Sasa onesha article ikisema kwamba mlinunua hizo dreamliner 9, alafu kwnn umesema 10 ilhali kwenye article inasema mli expect kununua 9? Unaongopa ili iweje? Kwnn mnakuwa wajinga kiasi hiki? Nani hajui kwamba mna ndege 3 chakavu.
 
Back
Top Bottom