Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

the difference is that sisi Kenyans hatujui kupaka mavi marashi.....thats why we dont blubber about football so much coz we aint a footballing nation but can wallop tangsania with our eyes closed.You get it....for tanzanians you praise nonsense from your govt to football teams which are way way below par.In short you are idiots
Bongolala by definition is a state of dumbness… these guys will try to sell ice to Eskimos and brag about it…🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tanzania will have 4 CAF standards stadiums for AFCON 2027 mkapa, Aman, Arusha and Dodoma while Kenya will have one renovated Kisirani na UG will have one renovated Nakivubo.
Most teams will be based in Tanzania where opening and final games will be played.
CAF wana vigezo vyao kuhusu hii michezo kwanza muamko wa kupenda football watu wawe na uwezo wa kujaza uwanja ambapo Tanzania has proven that times and time again, pili transport convenience ambapo Tz kuna BRT orderly transport, Tatu Hotels za hadhi ya juu kwa delegates na mashabiki toka sehemu mbalimbali duniani, nne hospital za viwango vya juu katika kutoa huduma, tano shirikisho la mpira liwe active member wa CAF, sita ubora wa ligi husika na ushindani wa hali ya juu kwa club za ndani etc.

Sasa kwa hali hiyo nadhani unaweza uka deduce kuwa opening na finals zitafanyika nchi gani hapa EA.
I will save this to humiliate you later…🤣🤣🤣
 
You have improved by becoming bottom in the group?😅
We did play with greatest teams on which you do not match them in terms of quality.
Zambia 86th in Fifa ranking and DR Congo 64th in Fifa ranking.
Na hizo timu hazikuweza kutufunga na tumewamiliki kimpira.
Wewe endelea kukaa hapo hapo nafasi ya 110 ilhali sie tunakuja nyuma yako.
 
You are making noise yet your country is winless in AFCON history and with only 5 goals scored. None of your clubs has ever won a continental trophy.

As for Gor, it's better than all teams in Tanzania. I advise you to collect a combined best 11 from all Tanzanian clubs to come and compete with Gor Mahia, I assure you that Got will still whip their ass
Ukitizama historia utafeli we kijana.
Barcelona asa hivi katika ranking iko chini ya manchester city kwasababu ya current performance.
Gormahia hilo kombe alilobeba lina hadhi ya tatu yani sawa na uefa conference league kombe wanaoshiriki ligi daraja la pili ulaya.
Makombe ya kiume Caf champions league na Caf confederation cup .
Je Gormahia ya ngapi katika rank ya hilo kombe??
 
We did play with greatest teams on which you do not match them in terms of quality.
Zambia 86th in Fifa ranking and DR Congo 64th in Fifa ranking.
Na hizo timu hazikuweza kutufunga na tumewamiliki kimpira.
Wewe endelea kukaa hapo hapo nafasi ya 110 ilhali sie tunakuja nyuma yako.
Muliwamiliki wakati mlitoka na bao moja AFCON across three matches? Umiliki gani huo?
 
Wtf!!
So you think all metals have the same processing methods? Mibongolalala mnatia aibu!
Are you stupid or some thing.
smelting
the extraction of metal from its ore by a process involving heating and melting.
Nyie wakenya elimu ya Physics wapi na wapi.

Ehe tuambie njia ipi mnatumia to extract metal from ore?
 
You are making noise yet your country is winless in AFCON history and with only 5 goals scored. None of your clubs has ever won a continental trophy.

As for Gor, it's better than all teams in Tanzania. I advise you to collect a combined best 11 from all Tanzanian clubs to come and compete with Gor Mahia, I assure you that Got will still whip their ass
Find for me Gormahia there.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-01-25-20-22-14-05_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-01-25-20-22-14-05_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    77.5 KB · Views: 15
  • Screenshot_2024-01-25-20-21-51-28_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-01-25-20-21-51-28_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    84.9 KB · Views: 15
Muliwamiliki wakati mlitoka na bao moja AFCON across three matches? Umiliki gani huo?
Unajua kitu kinachoitwa possession katika mpira?
Pass accuracy,shooting accuracy ,attempts e.t.c.
Hivyo vyote Tanzania tulifanya kwa ubora kuliko wao na wao ni timu kubwa kwetu.
Possession yetu ikiwa 58%+ katika mechi zote mbili.
 
Hahah
Hata ikiwa ghali bado beneficiaries watakuwa watanzania sababu ndio wazalishaji na processors from the scratch unlike Kunyaland pesa yote inakuja Tanzania na Asia
Rice inatoka Pakistan, Vietnam, Thailand na Bangladesh
Very cheap rice
Tembea Mombasa port uone zikishushwa ,.
Middle class kupanda Kenyans nao wanakula mwea RICE, PLUS indian Punjabi one ambazo ziko na more quality plus expensive kiasi.
 
Vipi kuhusu ujenzi wa business center na makazi within government city, ni kama niliwahi kuskia Samia housing scheme kwa DODOMA nyumba zitajengwa within government city

Mji wa Serikali (Magufuli City)​

Eneo: Jiji la Dodoma imetenga eneo la mji wa Serikali ambao upo katika Kata ya Ihumwa kilomita 17 kutoka katikati ya Mji. Eneo hili lina ukubwa wa Hekta 617.15 sawa na Ekari 1,542.88.

Mipaka: Mji wa Serikali kwa upande wa mangaribi unapakana na kambi ya Jeshi ya Ihumwa, Kaskazini-Mashariki unapakana na kata ya Mtumba na upande wa Kusini unapakana na barabara kuu iendayo Dar es salaam.

Mgawanyo: Mji wa Serikali umegawanyika katika maeneo tofauti kama ifuatavyo:-

  • Wizara za Serikali,
  • Ofisi za Mabalozi,
  • Nyumba za Serikali,
  • Huduma za Jamii,
  • Maeneo ya biashara,
  • Bunge,
  • Mahakama,
  • Maegesho ya magari,
  • Eneo la majitaka
 
Gharama: Gharama za Utekelezaji ujenzi wa Mji wa Serikali: Makadirio ya gharama za kukamilisha Mji wa Serikali ni Dola za Kimarekani 4,788,749,111 sawa na Shilingi za Kitanzania 10,709,176,758,503.
 
Back
Top Bottom