Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

TOP 20 World Corn Production 2023/2024
United States: 382,654,000
China: 277,000,000
Brazil: 129,000,000
European Union: 59,700,000
Argentina: 55,000,000
India: 34,300,000
Ukraine: 28,000,000
Mexico: 27,400,000
South Africa: 16,800,000
Canada: 15,300,000
Russia: 14,600,000
Indonesia: 13,100,000
Nigeria: 12,000,000
Pakistan: 10,500,000
Ethiopia: 10,400,000
Philippines: 8,400,000
Turkey: 8,200,000
Egypt: 7,600,000
Serbia: 7,000,000
Tanzania: 5,900,000
 
TOP 20 World Corn Production 2023/2024
United States: 382,654,000
China: 277,000,000
Brazil: 129,000,000
European Union: 59,700,000
Argentina: 55,000,000
India: 34,300,000
Ukraine: 28,000,000
Mexico: 27,400,000
South Africa: 16,800,000
Canada: 15,300,000
Russia: 14,600,000
Indonesia: 13,100,000
Nigeria: 12,000,000
Pakistan: 10,500,000
Ethiopia: 10,400,000
Philippines: 8,400,000
Turkey: 8,200,000
Egypt: 7,600,000
Serbia: 7,000,000
Tanzania: 5,900,000
Duh ndugu zetu wapo busy kupost apartments tu 😂😂😂 wakija wakizinduka watakuta tumewaachia vumbi tu
 
Tournament will be hosted by Kenya, Uganda and Tanzania. Opening game and finals will be played in Kenya.
Tanzania will have 4 CAF standards stadiums for AFCON 2027 mkapa, Aman, Arusha and Dodoma while Kenya will have one renovated Kisirani na UG will have one renovated Nakivubo.
Most teams will be based in Tanzania where opening and final games will be played.
CAF wana vigezo vyao kuhusu hii michezo kwanza muamko wa kupenda football watu wawe na uwezo wa kujaza uwanja ambapo Tanzania has proven that times and time again, pili transport convenience ambapo Tz kuna BRT orderly transport, Tatu Hotels za hadhi ya juu kwa delegates na mashabiki toka sehemu mbalimbali duniani, nne hospital za viwango vya juu katika kutoa huduma, tano shirikisho la mpira liwe active member wa CAF, sita ubora wa ligi husika na ushindani wa hali ya juu kwa club za ndani etc.

Sasa kwa hali hiyo nadhani unaweza uka deduce kuwa opening na finals zitafanyika nchi gani hapa EA.
 
Mkuu coodip1 kula diko kama hili hapo kenya ni anasa kaka 😂😂😂
IMG_20210727_232856_734.jpg
ukimuona mtu kenya anakula kama hivi ujue huyo ameshajipata kaka 😂😂😂
 
Dafu lipo

Ati "Service economy" 😂😂😂
Hakuna economy hapo they chose a boom and bust economic approach rather than building a resilient economy.
Sisi Tz tulianzia kwenye vijiji vya ujamaa ambapo tuli set a solid economic base huku juu kazi ni kupandisha tofali na kupaua tuu maana msingi ni imara.
Kenya wao walitumia a top down approach unaanza kupaua kabla ya kujenga msingi ndicho kinachowakuta sasa hivi wako kwenye shaky ground nothing works na sasa ndio wanaingia kwenye event horizon ya economic black hole.
 
😂😂😂 hii ramani inaniacha hoi sana,
1706178144450.png
hiv mmegundua kuwa sisi Tanzanians tumezungukwa na jirani mazuzu sana 😂😂😂 kitu chenye wanaona wao ni maendeleo ni kuwaachia wazungu wajenge majumba nchini mwao Halaf wao waje wapost social media 😂😂😂 . The future is Dark only bright brain will survive. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom