President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,117
- 93,554
Hawa tushawapiga knockout asubuhi mapema tuu. TFF wana mahusiano mazuri na CAF pia facilities za kuanzia tayari zipo hii inaonesha seriousness na readiness ya Tz kwenye kuandaa AFCON unlike hawa neighbours wetu wao wamekalia politiki tuu asubuhi na mapema yote.Yani hii jamaa wataamua waibuke DODOMA kwa joka au waibuke kwa mwewe kàzi kwao tu.
Wewe hata unga wa grade 6 huna unaongelea rice ambayo ni anasa kwenu 🤣🤣🤣some cheap grade 5 rice
just some 7 office blocks...what about it....ama by tz standards hii ni maajabu...lolDom government city View attachment 2882487View attachment 2882488
Wivu utakuua. 🤣 🤣 🤣 🤣just some 7 office blocks...what about it....ama by tz standards hii ni maajabu...lol
dodoma ni isiolo tuWivu utakuua. 🤣 🤣 🤣 🤣
Isiolo kuna Chuo kikubwa kama hiki?dodoma ni isiolo tu
hiyo ni nursery school
Hapo ulipo umejawa na hasira. Kwisha habari yako 🤣 🤣 🤣 🤣hiyo ni nursery school
that ugly thing in the kichaka ndio ajabu huko kwenu...oh how low tanganyika....hata walkways mkasahau...ni vumbi matope tu ndio mtindo as it is all over tanzania....lami huko ni kama goldHapo ulipo umejaa kwa hasira. Kwisha habari yako 🤣 🤣 🤣 🤣
sisi na zambia tuna point ngapi vp tunisia jeHakuna kitu kilichoharibika hapo. Kwani hujaona Ghana na Algeria nao wametolewa, au?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Why do Kenyans don't clean themselves after going to the toilet?that ugly thing in the kichaka ndio ajabu huko kwenu...oh how low tanganyika....hata walkways mkasahau...ni vumbi matope tu ndio mtindo as it is all over tanzania....lami huko ni kama gold
Sisi tumejenga Smelter Since 2017. Tunawakaribisha mlete biashara tuwaweyusihie