Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,271
- 18,088
Namkalibisha ndio nini?Unamkalibisha kwasabu kwa sasa anatembea na beats zako au sio 😀 😀 😀 😀
Namkalibisha ndio nini?Unamkalibisha kwasabu kwa sasa anatembea na beats zako au sio 😀 😀 😀 😀
Alooo Mungu na wanadamu 😀😀😀😀😀Nimekutoa shimo gani wee kichwa ngumu 🤣🤣
Wewe huna audacity ya kunifunza mm Kiswahili, nakichezea vile nataka kwasabu hii sio sehemu rasmiNamkalibisha ndio nini?
Do you ever understand anything about camera angles?Endelea kuweka picha ya mawinguni wakati ya karibu ipo View attachment 3679844
Tuonyeshe running track wacha maneno mengi 😂😂Endelea kuweka picha ya mawinguni wakati ya karibu ipo View attachment 3679844
Anasema ati a picture taken from the stand ni ya mawingu. Sasa sijui how high is Talanta to an extent the stands zifika kwa mawingu?😂😂Tuonyeshe running track wacha maneno mengi 😂😂
Sema tu umeathirika na kisukuma. It happens all overWewe huna audacity ya kunifunza mm Kiswahili, nakichezea vile nataka kwasabu hii sio sehemu rasmi
Wanatafuta escape routeAnasema ati a picture taken from the stand ni ya mawingu. Sasa sijui how high is Talanta to an extent the stands zifika kwa mawingu?😂😂
Talanta actually looks exactly like Bernabue and Camp Nou.Wanatafuta escape route
Maybe he’s the architect and the engineer of the entire project…🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tuonyeshe running track wacha maneno mengi 😂😂
Hii game tungelose wangekuwa wamejaa huku wakitwambia vile football is the only sport worth investing in.🤣🤣🤣Tumenyorosha wanyamwezi kama kawa kama dawa. No wonder uzi kuna utulivu 🤣🤣🤣
![]()
Kenya’s Emerging Stars thrash Tanzania 4-1 to close in on 2027 Africa U23 Cup | The Eastleigh Voice
Kenya’s Emerging Stars take a commanding first-leg advantage over Tanzania as they close in on the 2027 Africa U23 Cup of Nations.eastleighvoice.co.ke
They've all gone under in shame. They'll come back later with a bag full of flimsy excusesHii game tungelose wangekuwa wamejaa huku wakitwambia vile football is the only sport worth investing in.🤣🤣🤣
They have been defeated amateurs wakadhani wanaweza kushinda our senior teams😂😂Hii game tungelose wangekuwa wamejaa huku wakitwambia vile football is the only sport worth investing in.🤣🤣🤣
Wakunya mmeleta wazee,nimeiona hiyo match,kunyan wazee ndio under 23 yao
I prophecized this a few minutes ago😂😂😂Wakunya mmeleta wazee,nimeiona hiyo match,kunyan wazee ndio under 23 yao
They've all gone under in shame. They'll come back later with a bag full of flimsy excuses
Mara moja moja kwa mwaka sio mby mana kila siku tunawaonea nyie tuuTumenyorosha wanyamwezi kama kawa kama dawa. No wonder uzi kuna utulivu 🤣🤣🤣
![]()
Kenya’s Emerging Stars thrash Tanzania 4-1 to close in on 2027 Africa U23 Cup | The Eastleigh Voice
Kenya’s Emerging Stars take a commanding first-leg advantage over Tanzania as they close in on the 2027 Africa U23 Cup of Nations.eastleighvoice.co.ke
Mshaloose game nyingi dhidi ya Tz kuanzia soka la wanawake mpk la wanaume ndo mana leo imeonekana ni kitu cha ajabu saanaa hata nyinyi wakenya hamuaminiHii game tungelose wangekuwa wamejaa huku wakitwambia vile football is the only sport worth investing in.🤣🤣🤣
ivi ni wewe ndo ulisema maaana juzi nlikua naulzia nani yule alisema uwanja ni mkubwa kutabaki bonge la spaceTuliwaambia huo uwanja utawekwa running track mbeleni, wakabisha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣