Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tena sanaaaa, unajua wakenya wanaumia sana jinsi tunavyowaacha kimaendeleo, tymewapiga kwenye karibu kila idara, jana waliona wenyewe mpira uliopigwa na stars, kama stars ingetulia ile mechi na zambia leo tungeongea mengine apa, ilikuwa ishafuzu, sema tu ugeni wa mashindano umetu cost, trust me Tz kuna kitu itapata next afcon alafu hawa vibera kazi yao itakuwa hii hii kuisagia kunguni Tz 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Samatta anatugharimu sana hata msuva
 
Football.
Indeed Tz is good at football 🤣🤣

1706174282461.png
 
Tournament will be hosted by Kenya, Uganda and Tanzania. Opening game and finals will be played in Kenya.
Opening game and final to be hosted by non football country?, in which stadium, you don't have even a single caf approved stadium and you wish opening and final games to be played there, do you think caf are crazy like you?
 
Samatta anatugharimu sana hata msuva
Mkuu sisi bado wachanga, msiwalaumu sn, kwa mfano ile game na zambia kilichosababisha tusishinde ni ugeni kwenye mashindano, kwanza tuwe tunaingia mara kwa mara zen hata watoto watakaokuja haitawasumbua mana watajiona hawana mzigo mzito alafu wonders zinafuata, believe me stars iliyocheza jana hakuna timu ya EA itatia mguu, hawa wenzetu ndo tushawaacha, tena mbaaliii.
 
Vipi kuhusu wewe ambae haujashiriki.?
the difference is that sisi Kenyans hatujui kupaka mavi marashi.....thats why we dont blubber about football so much coz we aint a footballing nation but can wallop tangsania with our eyes closed.You get it....for tanzanians you praise nonsense from your govt to football teams which are way way below par.In short you are idiots
 
Wewe ni chizi.? Hii no battle Kati ya Tz na Kenya hapa tunazungumzia comparison btn these two countries..

Ambapo Tz ilifuzu Afcon ajabu ni kwamba jirani zetu ni haters, sasa nakuuliza swali, je nyie mlishiriki Afcon .?
 
Mkuu sisi bado wachanga, msiwalaumu sn, kwa mfano ile game na zambia kilichosababisha tusishinde ni ugeni kwenye mashindano, kwanza tuwe tunaingia mara kwa mara zen hata watoto watakaokuja haitawasumbua mana watajiona hawana mzigo mzito alafu wonders zinafuata, believe me stars iliyocheza jana hakuna timu ya EA itatia mguu, hawa wenzetu ndo tushawaacha, tena mbaaliii.
Hapana bro wakat mwengine tusijiweke nyuma sana hakuna uchanga kwenye football mzee, mechi ya zambia ni ujinga wetu wenyewe game ilikua over 90% tunashinda, samatta anaigharimu sana team pamoja msuva tatizo letu sisi hatuamini kwenye talent nani alijua kama ibrahim bacca angecheza vile utasema ana experience ya 10yrs kwenye mashindano yale, wakat mwengine tuache ukweli utawale 😅😅😅

Kama jana msuva amepata clear chance kama mbili au tatu nini anafanya pale ni jina kubwa tu

Alaf coach juma mgunda hii nchi ngumu sana aloo🙌😅😅😅😅😅😅
 
the difference is that sisi Kenyans hatujui kupaka mavi marashi.....thats why we dont blubber about football so much coz we aint a footballing nation but can wallop tangsania with our eyes closed.You get it....for tanzanians you praise nonsense from your govt to football teams which are way way below par.In short you are idiots
Tell me why Kenyans are the ugliest people in the world?
 
Trust me, for the next ten years kazi yenu itakuwa hii hii kuiombea mabaya Tz kwenye mashindano makubwa kisoka kama haya, you know what!? Tz imepeleka wachezaji wa4 direct from NBC premier league to afcon na hao players wamewaweka benchi players from European leagues, this is the biggest achievement for East Afrika, na tutaendelea kuiwakilisha hii zone ya wapumbavu.

NB: Tanzania is Southern country not Eastern country.
Too many words, but the fact remains Taifa Stars have never won a single game at AFCON.
 
Back
Top Bottom