Halafu pale DIT wanajenga bajaji za umeme sijui ndio hizo mkuu?
Wanaunda kuanzia bodi mpaka mashine hawa assemble kama mwanzo .
Naona sasa umechoka unaokoteza tu. Weka jina la project tuone
Je hapo Kenya hakuna project ya maana kama hiiBellevue Lapfund Affordable Housing Project, South C
View attachment 2877541
View attachment 2877543
View attachment 2877549
View attachment 2877553
Render inaonesha blocks 10 lakini ajabu picha ya jengo ni moja 😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂 Kwa housing umepigwa kiboko sasa umeanza kuhepa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Je hapo Kenya hakuna project ya maana kama hii
View attachment 2877560
View attachment 2877561
View attachment 2877562
Umeona project imekuwa launched March last year? That one block has only taken less than a year to reach 12 floorsRender inaonesha blocks 10 lakini ajabu picha ya jengo ni moja 😅😅😅😅😅😅😅
kama AU wataondoa ofisi Addis basi shida sio sakata la Somaliland bali shida itakua ni security instability ya Ethiopia.Wewe akili ulizonazo ziko wapi? Mbuzi wa kienyeji mkubwa.
Naunga mkono wazo la kuanza kufikiria kuondoa Makao Makuu ya AU hapo Addis na kuhamishia Arusha Kwa sababu Nchi inayoleta uchokozi wa kimipaka Kwa majirani zake inakiuka misingi ya uhuru ya AU.
View attachment 2876047
👍👍👍👍👍👍👍👍👍render country
Unajua hiyo block moja pekee yake ina units ngapi kweli?Render inaonesha blocks 10 lakini ajabu picha ya jengo ni moja 😅😅😅😅😅😅😅
Sasa Nchi inayovamia majirani itakuaje na security?kama AU wataondoa ofisi Addis basi shida sio sakata la Somaliland bali shida itakua ni security instability ya Ethiopia.
Eti hawakulazimishwa 😂😂,basi watakuwa wametapeliwa 🤣🤣Zanzibara imeshaunda Muungano na Tanzania na hawakulazimishwa huu Muungano .
Ila Somaliland haikutaka muungano.
Na kama Zanzibar ingekataa muungano tusingewalazimisha.
Na zanzibar ipo katika muungano wa serikali mbili maana pia nao wana bendera na rais wao.
Ila Somalia inataka muungano wa serikali moja hapo sijui bro umeelewa??
Yani rais mmoja ,bendera moja na serikali moja.
Kitu kama hicho Somaliland hawataki.
Italazimiehwa kama Taiwan inavyolazikishwa.Zingekuwa Nchi huru zingeshatambuliwa Kimataifa.Bro una kichwa kigumu wewe.
Somaliland inajitegemea kwa kila kitu mpaka sarafu we utawalazimishaje kuwa sehemu ya Somalia?
Taiwan nayo ina uongozi wake ,sarafu yake,katiba yake na bendera yake ni vile China anataka airudishe iwe sehemu ya China people's republic.
Ila ni ngumu maana Taiwan ishajipambanua kidiplomasia kama inavyofanya Somaliland.
Bro unatakiwa ujifunze vingi kuhusu diplomasia .
anael aliona mbali sana kuanzisha huu uzi.Hii thread ilianzishwa 2017 so endelea kuvuta pumzi. Tunawachinja taratibu
Huko Kunyaland kuna tatizo kubwa la Ardhi na raia common kama mimi hawana uwezo wa kumiliki Ardhi na kuiendeleza hivyo wanategemea hizo mabweni za serikali.Stop posting completed projects. This just proves my point that there's no housing construction going on in Tanzania right now 😂😂
ua hilo nchi nzima hamlali mnaiwaza tanzaniaTanzanian electricity installed capacity is 1,777.1MW. Mtu asikutishe na gazeti la kufunga nyama.
Huyu jamaa anachekesha.Wewe nipumbavu na hujui chochote, wacha kujiabisha 😂😂😂 haya kula chuma hicho 👇View attachment 2876527chuma inasoma 176 hiyo kama hujui chochote ni bora usichangie au kaa kimya walau utaonekana una maana