Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We also have a lot of planned Geothermal, Hydropower and Solar plants. Tukisema tuongeze j]kwa hiyo idadi yetu mnadhani bado mtakuwa karibu na sisi? Kama project moja mnachukua miaka kumi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu mpumbavu mwenzako anakulisha utopolo 😂😂😂 kinyerezi ipo na phases 2 ambazo they both operating, hiyo kinyerezi 3 ni expansion 😂😂😂
According to you kinyerezi iko phases ngapi kwani.? 😂😂😂 Mbona zipo phases ni operational as we talking right now. .? Yani hata hii habari ya phase 2 pia hujui.? 😂😂😂👇"Kinyerezi II Power Plant Station | Keller Africa" Kinyerezi II Power Plant Station | Keller Africa.
 
A bunch of just a few countable blocks. Only 500 units. Mukuru housing alone ni 14, 000 units 😂
Unataja namba ambazo ni invisible.? 😂😂😂 Ziko wapi hizo 14k units. Au zipo kwenye hivyo vigorofa vitatu vyenye umepost.? 😂😂😂Au zitakamilika in phases Ili nikueleze ni phases ngapi za Samia housing scheme zitadondoka hapo kawe.?
 

Hii ni ya serikali. I won't even bother showing you za private developers

1705757060179.png
 
Tanzanian electricity installed capacity is 1,777.1MW. Mtu asikutishe na gazeti la kufunga nyama.
Hii figure unataja najua ulipoipata na hii ilikua ni December 2022 while hii ni January 2024, awali ulidai Tz capacity yake ni 1300 😂😂😂😂 wewe ni kichaa mjomba. Wivu wako hauwezi kubadlisha chochote ground mzee.
 
Back
Top Bottom