buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,110
Huo umeme wenu wa makaratasi mpaka Airport inaingia giza mbona hatuuoni.Tanzanian electricity installed capacity is 1,777.1MW. Mtu asikutishe na gazeti la kufunga nyama.
As usually chochote mnachoweka huku kwa Ground ni tofauti. Afadhali sie.