RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,536
- 135,709
Hivi mmegundua kituo cha BRT hapo station kinetengenezwa kwa umbo la treni mchongoko?
Yah mkuu.Hivi mmegundua kituo cha BRT hapo station kinetengenezwa kwa umbo la treni mchongoko?
Tungelikuwa mbali sana sana sana, tungekuwa na gdp inayokaribia $200b kutoka hii ya sasa $150b.Magu leo angekuwepo sijui nchi ingekuwa wapi? RIP mwamba.
What's unique in this picture if I may ask?Wakenya oneni jinsi watanzania tulivyowaacha mbali, nilisema mm kuna maeneo hapa bongo yamekaa kiulayaulaya, hakuna jua kali hapo hata chembe 👇👇View attachment 2877240
Watchman wewe unajua nini kuhusu GDP?Tungelikuwa mbali sana sana sana, tungekuwa na gdp inayokaribia $200b kutoka hii ya sasa $150b.
Kiufupi wahuni wanamzidi nguvu. 😂😂😂Mama anachezewa sana na hawa watu na ndiyo maana wanataka aendelee ili wazidi kuichezea wanavyotaka, kwa jinsi hali inavyoendelea ni kwamba hata jnhpp likianza uzalishaji (limeshaanza) bado umeme utaendelea kukatika katika, haya maendeleo machache ya kweli ni kwasababu alipita mzalendo na ndiyo maana wakalazimika kuendelea kufanya kama alivyokuwa anafanya mzalendo japo speed yao ni ya Kobe.
Bro, believe me kama Magufuli asingepita nchi hii tungeendelea kuletewa neti kwa msaada wa watu wa Marekani mpaka leo.