Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Serikali itaingia ndege ngapi za cargo.?Tho tunahitaji na 737 800F kwa ajili ya routes to most of african cities ku compliment na 767 F
Serikali itaingia ndege ngapi za cargo.?Tho tunahitaji na 737 800F kwa ajili ya routes to most of african cities ku compliment na 767 F
Sijakupata ? umemanisha itaagiza ?Serikali itaingia ndege ngapi za cargo.?
Ndio mkuuSijakupata ? umemanisha itaagiza ?
Bado boss sijajua plan za mwaka huu apart from Boeing 737 BBJ business jet, kwa ajili ya Rais, plus kumalizia malipo ya ndege hizi zinakuja mwaka huu amabzo ni Max 9 nyingine na 787 1 zote hizi zitakuja karibia na march 24, so tutaona budget ya mwezi wa 7Ndio mkuu
Samatta ni gharasha la kutupa mbali sana,tunapaswa vijana wenye uchungu na Taifa hili kama wafanyavyo Wasanii wa Bongo FlevaBro tusijipe matumaini kwenye hakuna pale hatuna team tuseme ukweli tu hata hio kuingia AFCON sote tunajua tumepita kwa kujunga junga bado tumekaririshwa samatta ni mchezaji wakutegemewa? 😅😅
Mizigo mingi ni intercontinental but between African states sidhani kama tuna mizigo mingi ya kusafirisha kwa ndege.Tho tunahitaji na 737 800F kwa ajili ya routes to most of african cities ku compliment na 767 F
So Raisi wa Tz atakuwa anatembelea 737 business jet sio? Dah hii nchi maskini mbona tunaingia gharama hivyo?Bado boss sijajua plan za mwaka huu apart from Boeing 737 BBJ business jet, kwa ajili ya Rais, plus kumalizia malipo ya ndege hizi zinakuja mwaka huu amabzo ni Max 9 nyingine na 787 1 zote hizi zitakuja karibia na march 24, so tutaona budget ya mwezi wa 7
Nyangau hapati usingizi juu ya hili dude.Tuseme hii ndege ndio imeleta shida yote?🤣
View attachment 2875852
Wimbo wa Taifa wa Tanganyika,ni wimbo unaofanana melody pamoja na nchi za Zambia,Msumbiji,Namibia na South Africa.How did it happen that you guys copied South Africa's national anthem....lol.
Wacha ujuaji wenyewe wanajua wanahitaji ndege gani! Usiseme kwa ajili ya Africa tu wakati ombi lao ni kwa ajili ya continental cargo routes!Tho tunahitaji na 737 800F kwa ajili ya routes to most of african cities ku compliment na 767 F
Sio ujuaj kwa ninavyyona cargo business operation , kwani unahisi wako wako right always ??? hawezi kupata oipinion nyingie? mbona kuna vitu vingi tu tunaona wamefanya wanakosea . Mbona we uliwahi kutoa opinion yako kuwa wanahitaji dreamliner nyingine walau 4 ,kila mtu ana opinion tofauti, unahisi cargo operation zinaweza fanywa na 767 tu peke yake ? ingekuwa hivyo ingekuwa haipaki ingekuwa haikai hata zaidi ya siku 3 airport ikisubiria mizigo . it is easier to fill 737 800F wheter they see it right or wrong .Wacha ujuaji wenyewe wanajua wanahitaji ndege gani! Usiseme kwa ajili ya Africa tu wakati ombi lao ni kwa ajili ya continental cargo routes!
Acha kujipa ujiko usio wako, wewe ulitaka tujenge SGR kusini sasa unafikiri hiyo reli mpya ingeweza vipi kuungana na SADC wakati wao wanazidi kuongeza mtandao wa cape gauge?Geza Ulole Zambia imeanza kufanyia kazi ule ushauri wangu kuhusu reli.
Swala sio Sgr ,ishu ya msingi ni reli ya kuifanya Tazara iwe profitable zaidi.Acha kujipa ujiko usio wako, wewe ulitaka wajenge SGR sasa unafikiri hiyo reli mpya ingeweza vipi kuungana na TAZARA?
Mheshimiwa Spika, katika mwaka wa fedha 2023/24 Serikali imepanga kutumia jumla ya Shilingi bilioni 271.00 kutoka Mfuko Mkuu wa Serikali kwa ajili ya:-i. Kukamilisha malipo ya kimkataba ya ununuzi wa ndege tatu (3) mpya – Ndege moja (1) aina ya Boeing 787-8 Dreamliner na Ndege mbili (2) aina ya Boeing 737-9;223ii. Kufanya malipo ya awali kwa ajili ya ununuzi waNdege mpya aina ya Boeing 737–7 moja (1) na DeHavilland Q400 moja (1);iii. Kugharamia matumizi ya awali ikiwa ni pamoja na uletaji wa Ndege tatu (3) mpya – Ndege moja (1) aina ya Boeing 787-8 Dreamliner na Ndege mbili (2) aina ya Boeing 737-9; gharama za bima; gharama za watalaam wa kukagua na gharama za vipuri muhimu vya ndege; iv. Kufanya ununuzi wa injini mojaSo Raisi wa Tz atakuwa anatembelea 737 business jet sio? Dah hii nchi maskini mbona tunaingia gharama hivyo?
Wewe akili ulizonazo ziko wapi? Mbuzi wa kienyeji mkubwa.Huna akili.
Ni ya wapi Mr. Geuza?si ndege ya Ukunya nyoko wewe!
Kima ni mom Yako.Wewe jamaa ni kima tu
Rais yupi aliikuwa wa kwanza kujenga Interchange? 😁😁Rare photos of Kurasini interchange 👇View attachment 2875905View attachment 2875906View attachment 2875907View attachment 2875908View attachment 2875910