Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mnaumizwa sana na tanzania walahi nafurahi sana kuj

ua hilo nchi nzima hamlali mnaiwaza tanzania
Actually it is the other way round. Kenya is always in the minds of Tangawizi. Huwa mnafuatilia hadi taarifa zetu wakati we don't give a shit about your shithole country. We live rent free in your heads
 
Italazimiehwa kama Taiwan inavyolazikishwa.Zingekuwa Nchi huru zingeshatambuliwa Kimataifa.

Basi iambie Ethiopia ikapeleke Base na ichukue Ardhi wanayodai wameikodi kienyeji waone kitakachofuata.

Alshabab watawafuata huko huko Addis , uzuri Jimbo mojawapo la Ethiopia Lina Wasomali watupu.
Inalazimishwa bro.
Hivi umefuatilia toka 1993 Somaliland alipokua anahangaika atambulike kama Eritrea na Djibout inavyotambulika na namna Somalia alivyokua anaiwekea figisu?
Somaliland ilipata uhuru kivyake na Somalia ikapata uhuru kivyake ila Mogadishu walikua wanataka kuunganisha ardhi iwe moja.
Bro utake usitake Somaliland inajitegemea.
 
Eti hawakulazimishwa 😂😂,basi watakuwa wametapeliwa 🤣🤣
Wametapeliwa kivipi ilhali Zanzibar chini ya Karume walikaa meza moja kuunda muungano wa serikali mbili 1964 kwa kuridhiana wote??
Somaliland amekataa muungano Somalia analazimisha tena muungano wa serikali moja Somaliland iwe mkoa.
Ilhali Somaliland imepiga hatua kiuchumi kivyake Somalia ije ifaidi kiwepesi wepesi tu.
 
Huko mzee tulishatoka miaka ya 2015

Nyerere Bridge

1705764945848.png

1705764991486.png

1705765017500.png
 
Sasa Nchi inayovamia majirani itakuaje na security?
Somaliland haikuvamiwa kiongozi wao alimkaribisha Abiy Ahmed kwa furaha zote na wakazungumza.
Kumbuka hata Iraq kuna kuna semi autonomous ya Kurdistan na karibuni itatambulika kuwa taifa huru japo Iran na Turkiye hawataki hilo litokee.
Ila unapokuja kwa Somaliland ni nchi inayotakiwa iwe huru maana ina historia yake yenyewe tofauti na Somalia.
 
Wametapeliwa kivipi ilhali Zanzibar chini ya Karume walikaa meza moja kuunda muungano wa serikali mbili 1964 kwa kuridhiana wote??
Somaliland amekataa muungano Somalia analazimisha tena muungano wa serikali moja Somaliland iwe mkoa.
Ilhali Somaliland imepiga hatua kiuchumi kivyake Somalia ije ifaidi kiwepesi wepesi tu.
Inalazimishwa bro.
Hivi umefuatilia toka 1993 Somaliland alipokua anahangaika atambulike kama Eritrea na Djibout inavyotambulika na namna Somalia alivyokua anaiwekea figisu?
Somaliland ilipata uhuru kivyake na Somalia ikapata uhuru kivyake ila Mogadishu walikua wanataka kuunganisha ardhi iwe moja.
Bro utake usitake Somaliland inajitegemea.
Usijisumbue Bure,hakuna Taifa la Kuitambua Somaliland Kamwe,kama tuu ambavyo Taiwan haitokaa itambuliwe.

Ni Suala la mda tuu Somalia italichukua Kwa Nguvu na hakuna watakachofanya.
 
Back
Top Bottom