Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ngoja vile vi regional jets vyao viokoteze mzigo from Uganda, Cameroon sudan congo na kila mahali walete JKIA sisi tuupeleke Dubai, mumbai, Guanzhou, japan etc
Kwamba videge vyao vinapambana kuokoteza mzigo sehemu mbalimbali Afrika vinapeleka nairobi alafu cargo plane ya Tanzania inauchukua mzigo wote kwa wakati mmoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nimestaajabu kuona msanii kutoka mombasa kenya anaenda america safari yake inaanzia tanzania tena nafkiri kaondoka na KLM 😅😅😅😅


Screenshots_2024-01-19-14-19-17.png
 
180kph 🤣🤣🤣🤣
Kwa Mashine ipi na umeme upi?
Acha kupelekwa kama bendera Uliipima Kasi yake?
Je kwa speed hiyo ilifkla mpaka wapi na Ilitestiwa kwa masaa mangapi?
Wewe nipumbavu na hujui chochote, wacha kujiabisha 😂😂😂 haya kula chuma hicho 👇
Screenshot_20231130-150348_YouTube.jpg
chuma inasoma 176 hiyo kama hujui chochote ni bora usichangie au kaa kimya walau utaonekana una maana
 
Ha ha ha ha kumbe ulisema siwezi kukufikia kisa uko abroad...you have long way to go young man.
Mkuu Kwa sasa nina miaka 55 naelekea kwenye Ukongwe nafurah sana Kuitwa Young men na kijana wa Gen z

Kuna kitu nataka kukushauri kuna wakati Kuonyesha hoja ni vizuri ila sio hizi personal Assasination hazitawasaidia kitu..

Na nimegundua nyote nyinyi ni Alethophobia so vigumu kunielewa
 
Back
Top Bottom