Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huko nyanda za juu kusini ni kwa kina ChoiceVariable au The Sunk Cost Fallacy 2
 
Haka kajamaa kalihoji kwann tusijenge bwawa la MW 400 na sio MW 2000.. leo hii bila aibu anafurahia MW 2000 kufika mwishoni mwishon
 
😆
Leo atakuambia demand ipo juu. Kazi ya mama
 
Haka kajamaa kalihoji kwann tusijenge bwawa la MW 400 na sio MW 2000.. leo hii bila aibu anafurahia MW 2000 kufika mwishoni mwishon
🤣🤣🤣 Kajamaa kalijifanya yeye sio ccm, saivi kila siku kinamsifia mama,. Probably huyo mpumbavu ni kati ya wale washenzi waluotumbuliwa na Magufuli, kila ilivyo atakuepo kwenye kundi la wafoji vyeti.
 
Leo hii zinaendelezwa, kamegeuka.. kamebaki kushabikia kuwa mama ameikuta chini ya 30% na sasa ameipeleka zaidi ya 90%
 
🤣🤣🤣 Kajamaa kalijifanya yeye sio ccm, saivi kila siku kinamsifia mama,. Probably huyo mpumbavu ni kati ya wale washenzi waluotumbuliwa na Magufuli, kila ilivyo atakuepo kwenye kundi la wafoji vyeti.
Pro ccm wengi wako kimaslahi yao binafsi na si kwa ajili ya nchi,hata yule maria sarungi ndio kama hawa machawa wa humu,kikubwa kama nchi tunahitaji katiba mpya ili hata hawa machawa wapate kujitambua
 
ChoiceVariable njoo uone ulichokua unakipinga kipindi cha magu hapa,leo hii unakisifia pambavu,wewe ni chawa pro max maku wewe,mnaangalia maslahi yenu tu shwain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…