The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Kota 3 zote za Mwanzo Zina average ya growth ya 5%,Ili kufikia hiyo inatakiwa walau growth rate ifikie 5.7 and above ambayo siioniWhy Not?
Kota 3 zote za Mwanzo Zina average ya growth ya 5%,Ili kufikia hiyo inatakiwa walau growth rate ifikie 5.7 and above ambayo siioniWhy Not?
So ongezeko ni dogo japo Kwa absolute value linaonekana kuongezeka kuliko mwaka uliopita ,shida ya bei kupanda Duniani zimeharibu productivity ya firms..Ili mambo yawe sawa bado tunahitaji wawekezaji walete hela ndani ziongeze mzunguko...Na kupambana kuongeza uzalishaji wa ndani ili tuongeze mauzo zaidi
Ukiangalia kutakua na mradi gani mkubwa baada ya hii inatotekelezwa sasa uko badae? Inahitajika miradi kadhaa ya kuongeza mzunguko mkubwa wa hela ili mtaani hela ionekane especially kwenye mahitaji ya kila siku...So ongezeko ni dogo japo Kwa absolute value linaonekana kuongezeka kuliko mwaka uliopita ,shida ya bei kupanda Duniani zimeharibu productivity ya firms..
Mwisho bila shaka mwaka 2023 , growth rate inaweza kuwa zaidi ya 5 Kwa sababu kutakuwa na stability ya food supply maana mvua ziko vizuri Ila pia kuanzia 2024 huko uchumi utarudi kule kwenye 7% maana nyingi ya investments zinazofanywa Sasa zitakuwa zimeanza kuzalisha.
Mbona watanzabia mnapenda sana kubadilisha gari nzee ati iwe new model...alafu mnatuwekea hapa , bro nunueni gari yenyewe sio kuweka mkebe pale TTTR Auto upgrades... ila napenda kazi yakeTofauti ni sisi hatuangalii station zao so wakitutaja mara nyingi hatuna habari ila wao huwa wamejikaza kwa stesheni zetu wakitajwa tu hivo ndio hao all over. 🤣
...
Hii kazi yenu msidhani hatujuangiMbona watanzabia mnapenda sana kubadilisha gari nzee ati iwe new model...alafu mnatuwekea hapa , bro nunueni gari yenyewe sio kuweka mkebe pale TTTR Auto upgrades... ila napenda kazi yake
Hii ndio chuma yenyewe Land cruiser ZX 2022View attachment 2479817View attachment 2479818View attachment 2479821View attachment 2479822
Inaitwa upbadging. Very useless. The people who don't know don't care, the people who care will know.Mbona watanzabia mnapenda sana kubadilisha gari nzee ati iwe new model...alafu mnatuwekea hapa , bro nunueni gari yenyewe sio kuweka mkebe pale TTTR Auto upgrades... ila napenda kazi yake
Hii ndio chuma yenyewe Land cruiser ZX 2022View attachment 2479817View attachment 2479818View attachment 2479821View attachment 2479822
Binafsi mamiradi makubwa kama haya ya Sgr na bwawa siyataki kabisa maana yanaua uchumi..Ukiangalia kutakua na mradi gani mkubwa baada ya hii inatotekelezwa sasa uko badae? Inahitajika miradi kadhaa ya kuongeza mzunguko mkubwa wa hela ili mtaani hela ionekane especially kwenye mahitaji ya kila siku...
Ilikua lazima tuandae umeme wa kutosha kwa manufaa ya badae,na njia ya kupitisha mizigo mizito ili barabara zidumu...Hakuna kilichopotea so far,Angalia nchi zilizoendelea kama hawana umeme wa uhakika na reliBinafsi mamiradi makubwa kama haya ya Sgr na bwawa siyataki kabisa maana yanaua uchumi..
Unawekeza pakubwa ila Tija yake ni ndogo,miradi ya hivyo haifai kabisaa..
By the way miradi ni Mingi sana tena ya size ya Kati kuanzia viwanda Hadi majengo..
Mfano kwenye sekta ya Kilimo Kuna uwekezaji mkubwa unaendelea Kwa Ajili ya Kilimo mfano
So investments kwenye sekta kama Kilimo ni muhimu sana Ili kuondoa mabilioni ya pesa tunazotumia kuagiz vyakula ambavyo tunaweza kuzalisha ndani,soma hapa
One of the most iconic interchanges in the region.. hatuna picha nyingi ya hii interchange lakini ni ukali sanaKurasini InterchangeView attachment 2479765
Sijkataa umeme Mkuu maana ni muhimu Kwa uzlishaji ila nachokataa ni selection za miradi ya kuanza nayo..Ilikua lazima tuandae umeme wa kutosha kwa manufaa ya badae,na njia ya kupitisha mizigo mizito ili barabara zidumu...Hakuna kilichopotea so far,Angalia nchi zilizoendelea kama hawana umeme wa uhakika na reli
Pesa ya mfuko wa barabara inatokana na tozo ya mafuta kwa lita moja ni kama 256tshs na kwa mwaka wanakusanya 650B tu, factors zipi zinazochangia katika kuongeza matumizi ya mafuta? Maana mbali na kukopa hela za kujenga barabara inatakiwa mfuko wa barabara wenyewe kwanza ueleweke...Sijkataa umeme Mkuu maana ni muhimu Kwa uzlishaji ila nachokataa ni selection za miradi ya kuanza nayo..
Ukweli ni kwamba Sgr ni tembo mweupe mkubwa sana ambae haitaleta Tija yeyote pamoja na sifa zote maana Bhati mbaya inajengwa kusiko na mzigo wowote..
Napenda serikali iweke Nguvu kwenye Barabara za lami tufungue fursa mikoani sio kutegemea infrastructures za dsm Kwa 70% ya revenues ya Nchi..
Kama wameweza kuongeza Bajeti ya Tarura kutoka bil.272 Hadi Bil.800,Bajeti ya maji kutoka bil.305 Hadi 700,Kilimo kutoka bil.294 Hadi Bil.954 n.k nk .
Naamini Serikali haitakosa bil.800 kuongeza huko TanRoads na Tarura tujenge Barabara za lami ,hapa tukumbuke bil.400 za sensa tayari zinaweza kuwa allocated tayari hizo zingine zitptikana Kwa kukata basdhi ya expenditures..
Barabara,umeme,maji,Kilimo na uwekezaji ndio vitaleta pesa Kwa haraka..
Kuna pesa zingine kutoka mfuko Mkuu wa Serikali.Pesa ya mfuko wa barabara inatokana na tozo ya mafuta kwa lita moja ni kama 256tshs na kwa mwaka wanakusanya 650B tu, factors zipi zinazochangia katika kuongeza matumizi ya mafuta? Maana mbali na kukopa hela za kujenga barabara inatakiwa mfuko wa barabara wenyewe kwanza ueleweke...