babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,308
- 35,739
Mkandarasi anaitwa Beijing Construction Engineering Group ni yule yule aliyejenga BM national stadium.Xmass nilikuwa Dodoma, nmeona lile eneo la uwanja mkubwa wa kisasa wa michezo wenye capacity ya 30k spectators tayari mkandarasi kashazungushia uzio wa mabati. Mtu mwenye details alete tafadhali. Such a good news.
Sehemu iliyozungushiwa uzio ni ujenzi wa awamu ya kwanza ambayo itahusisha viwanja vya michezo mbalimbali vikiwemo sehemu za kuogelea nk.
Awamu ya pili ambayo itahusisha uwanja wa mpira iko nyuma ya palipo zungushiwa uzio.