ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,431
- 85,268
Mkunya anakwambia eti wameongeza mauzo ya bidhaa zao Tanzania na yamenakisi yetu kwa zaidi ya 40% hivi wanajua kwamba hakuna cement Kunyaland inazalishwa bila coal ya Tanzania? Ni kitu gani cha maana kikubwa Kunyaland inaiuzia Tanzania bila hicho Tanzania haizalishi bidhaa muhimu kama cement?
Wakundustan wamekua wakifake data zao mno wanasema eti Tanzania inaiuzia sana mahindi kitu ambacho sio kweli kama ni mzoefu wa barabara ya Iringa Arusha utaona malori ya coal yasio na idadi daily yanaply hiyo route na huo sio uchumi mdogo, Tanzania imeiuza nje coal yenye thamani ya $230 million 2023
View: https://twitter.com/_ngwata/status/1740424208285622328?t=TU3U1F1zbRb0ivbWht7ucA&s=19
View: https://twitter.com/nyuki_malkia/status/1736315466195296270?t=NgAQBz-dc5s-51thtpkV1w&s=19
View: https://vm.tiktok.com/ZM65WAjwo/

Maji yakijaa huwa yanafunguliwa usiku yamwagike alishatuambia mzalendo namba mbili wa nchi hii baada ya Mwalimu Nyerere. Eti mvua za kujaza bwawa hazikunyesha miaka miwili ukanda wa nyanda za juu kusini, akamuongopee mama yake chawa huyo japo nmecheka jinsi alivyokuwa anasimulia 🤣🤣🤣🤣Kama ni kuto kujaa kwa maji, inawezekana wapo watu wanahujumu hiyo miradi kwa kuchepusha maji kwaajili ya matumizi yao binafsi.
Haya masenge ya East Afrika yameamua kutuachia wenyewe mambo ya soka.Wengine wanakula kwa macho
View attachment 2862483