Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,759
Na Al Shabaab waruhusu pia!Hii Great White Elephant ni seasonal port mpaka mzigo wa ngania au mkaa uenee ndio meli ije.
Na Al Shabaab waruhusu pia!Hii Great White Elephant ni seasonal port mpaka mzigo wa ngania au mkaa uenee ndio meli ije.
Livestock zone at Lamu Port is very busy.
View: https://twitter.com/Kenya_Ports/status/1600841572005863424?s=19
Yeah kweli kabisa, bado sana kwenye data compilation lakini cha kushangaza kwenye boarder entries wapo very careful kuattend kinachoingia na kutoka, hata kwenye entries zetu za ndani, hivi unajua Tanzania ina zaidi ya 70 weight bridges tena nyingine za kisasa sana wakati Kunyaland hata 5 hawana, na systems kwenye hizi weighing bridges ni sophisticated kiasi hata wakitaka kuchukua hizo data za mizigo ni dakika 0 tu, kuna upigaji mkubwa utashtukiwa endapo watafanya hivyo wala sio bure!Shida iliyokuwepo ccm hawapo care na hii nchi,hawajali kitu kinaitwa data,wao ili mradi familia zao mambo yanaenda,imagine zambia,malawi na east congo 80% mizigo yao wanaipitishia dar port,kuna burundi na wenyewe % kubwa wanatumia dar port,lakini data zinaonyesha bado tunashindana na kunyanduana port,border zote tulizopakana na kunyan ni wakunyan ndio wanategemea kila kitu upande wa TZ
Transit cargo alone in Mombasa Port is more than half of all cargo passing through all Tanzanian ports.
View: https://twitter.com/Kenya_Ports/status/1741014194827260402?s=19
www.capitalfm.co.ke
It's possible tukishakua na cheap production costs propelled by cheap energy lazima watanunua Tanzania watake wasitake,inabidi tukatae kuuza coal sasa tuuze cement ili kukata ngebe!
Bongoslum haiko hata kwa top 10 countries we import products from but inafurahisha sana kuona muko kwa top 5 countries that we export products to. 😂 😂 😂 Ruto ndio dawa yenu nyi burukenge.It's possible tukishakua na cheap production costs propelled by cheap energy lazima watanunua Tanzania watake wasitake,
Ni wazi Kunyaland haina biashara yoyote ya maana Tanzania, kama Pakistan, Netherlands na UK wananunua zaidi kutoka Kenya kuliko Tanzania an easy next door neighbor tulio na regional harmonized trade conducts na easy access kama tu Uganda lakini hawana cha maana cha kutuuzia ni wazi hata hizi billion 44 sio za kweli ni fakery
Kunyaland kwa namna wanavyojitapa ni most industrialized hawana hiyo status kwenye realistic trade volumes na Tanzania, hata Uganda numbers zipo hivyo sababu ya bandari tu
View attachment 2862643
Bashe kishaanza kuwabana,kaeni kwa kutulia takwimu zitakuja tu maana mlikua mnachukua vitu kiushkaji kama unatoa kitu nyeri kupeleka kiberaBongoslum haiko hata kwa top 10 countries we import products from but inafurahisha sana kuona muko kwa top 5 countries that we export products to. 😂 😂 😂 Ruto ndio dawa yenu nyi burukenge.
![]()
Umepewa TKO sasa unajiconsole 🤣🤣Bashe kishaanza kuwabana,kaeni kwa kutulia takwimu zitakuja tu maana mlikua mnachukua vitu kiushkaji kama unatoa kitu nyeri kupeleka kibera
Ruto na Gachagua wanajua kuwafyonza nyie nyang'au wote na huyo baba yenyu wa nyanza😎Bongoslum haiko hata kwa top 10 countries we import products from but inafurahisha sana kuona muko kwa top 5 countries that we export products to. 😂 😂 😂 Ruto ndio dawa yenu nyi burukenge.
![]()
TKo ipi hiyo wewe mkunyanduana?au hiyo zei nini ndio tko yenyewe?Umepewa TKO sasa unajiconsole 🤣🤣
sie waongee tribal vernaculars zao tu, maana Kiswahili nacho shida! Wazungu weusi bwana!TKo ipi hiyo wewe mkunyanduana?au hiyo zei nini ndio tko yenyewe?
Kiswahili hawajui kiingereza hawajui,wapo wapo tusie waongee tribal vernaculars zao tu, maana Kiswahili nacho shida!
Bongolalas hate statistics, yet numbers never lie.Umepewa TKO sasa unajiconsole 🤣🤣
NImepitia hiyo nimecheka sanaTKo ipi hiyo wewe mkunyanduana?au hiyo zei nini ndio tko yenyewe?
Sikujua export yenu ni $5 billion wakati Tanzania ni $6 billion na hapo bado hatujaanza kuexport natural gas yetu wala strategic metals ambazo both zipo under the massive processing proceduresBongoslum haiko hata kwa top 10 countries we import products from but inafurahisha sana kuona muko kwa top 5 countries that we export products to. 😂 😂 😂 Ruto ndio dawa yenu nyi burukenge.
![]()
Na bado tumewapita kwenye export business 😂😂😂Umepewa TKO sasa unajiconsole 🤣🤣