Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So unataka niamini picha ya billboard but not what I read from different sources? And what did Turkey's president come to do in Tanzania at that time? View attachment 1320443
So Obama alipokuja Kenya alikuja kutoa msaada??? Hvi wewe mpaka leo hii hua unakua mjinga kias hchi inamaana unaumia sana kuskia Tanzania inajengw reli kwa pesa zake😀😀😀😀 dr ndii sialiwaambia munajifanya kusahau Tanzania sio nchi ya nyinyi kushindana nayo mutapasuka
 
Siku Kenya imiliki meli kama hzi sijui labda nasubiri miujiza ya yesu👇👇👇👇
images - 2020-01-09T153525.708.jpeg
images - 2020-01-09T153538.258.jpeg
 
This is the mother of all unplanned cities in the entire universe.....no roads no piped water no sewerage system village like behaviours....name itView attachment 1312989

Sent using Jamii Forums mobile app
For sure hii aerial view inatia kichefuchefu but ndio sawa maana Tzn ishu ya mipango miji inaonekana kuishinda serikali.Iagine huu ndio mji kuu kioo cha nchi huko kwingine kukoje?
Miji yote Tzn iko hivyo,ukiondoa cbd the rest ni slums kwa kwenda mbele,tatizo ni nini hasaaa
 
Mimi sio shabiki wa CCM. Kila mtu ana preferences zake. Ninapenda juhudi za Rais Magufuli lakini haimaanishi kuwa naipenda ccm. Hiyo ideology uliyonayo kichwani ni ya kipuuzi na washenzi kama wewe ambao mnashindwa kuangalia mapungufu ya siasa zenu za ukikuyu na ujaluo halafu mnaona weakness kwenye nchi za wengine mkafie kuzimu. Fata mambo yanayokuhusu.
Sijawahi kubaliana na aina ya miradi ya serikali ya ccm maana mingi ni miradi ya show off na kujitutumua ambayo kimsingi itasababisha hali ya maisha ya watzn kuwa ngumu kuliko kuwasaidia
Haiingii akilini kuhangaika na midege,sgr,sijui umeme wa matrioni wakati hata mgwatt 1360 za sasa zina soma surplus,hizo zingine zote za kazi gani? Madaraja ya kuvuka maziwa na bahari ya kazi gani? Hivi tunavyoongea barabara ni kero kubwa sana kwa nchi,mahospitali na shule usiseme kuna msongamano ni hatari yaani serikali inachojigamba ni kitu kidogo sana ukilinganisha na mahitaji halisi na kasi ya kuzaliana.
Juhudi zingeelekezwa kwenye miradi ya msingi ya kumsaidia mwananchi directly yaani kinachotusaidia watzn ni ahueni ya mazingira sio harsh kama Kenya,Ethiopia na nchi zingine za pembe ya Africa vinginevyo tungesaga meno
 
Hapo hakuna ubishi, kila mwaka linadhibitishwa na facts wazi. Last year kwa extreme poverty index report, wao wanavuta mkia EAC/SADC, 2019 imebainishwa over 50% ya watanzania are reeling in multidimensional poverty! Balaa! Numbers don't lie.


Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa kama hizi watzn wa humu hawawezi kukubali ila uwaambie wanaongoza kwa bus stage nzuri africa hapo utapata cheers.Naamini hata wengi wa maofisini hawajui cha kufanya hii ni kutokana na kuajiri watu kwa kujuana kuliko uwezo ndio maana ni mwendo wa ku mark time,kwa ukuaji wa idadi ya watu Tzn kasi ya maendeleo inatakiwa kuwa kubwa zaidi la sivyo tujiandae kuwa kama Nigeria
 
Taarifa kama hizi watzn wa humu hawawezi kukubali ila uwaambie wanaongoza kwa bus stage nzuri africa hapo utapata cheers.Naamini hata wengi wa maofisini hawajui cha kufanya hii ni kutokana na kuajiri watu kwa kujuana kuliko uwezo ndio maana ni mwendo wa ku mark time,kwa ukuaji wa idadi ya watu Tzn kasi ya maendeleo inatakiwa kuwa kubwa zaidi la sivyo tujiandae kuwa kama Nigeria
Hebu unisaidie official link ili umtetee mwenzio na nakwambia ukinipatia official link ya alichokisema huyo mm nafunga account jamii forum😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom