Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio sababu nikasema mkuu mbona sikuekewi?

1)Kwanza sijasema kwamba kuna Vita au kutatokea Vita, ila nimesema Egypt ana nguvu za kijeshi za kuweza kulivunjilia mbali hilo bwawa bila Vita kutokea.

Sasa mkuu unasema maneno mengi bila kuangalia Geography ya hizi nchi mbili, hizi nchi hazijapakana kama hizo Iran na Iraq, sasa hiyo vita itatokeaje wakati nchi moja inao uwezo wa kutuma silaha toka mbali na kulivunja wakati Ethiopia haina jinsi ya kufika Egypt kulipiza kisasi?.

Kuhusu uwezo wa majeshi kuwa ni kigezo cha kushinda Vita, ninashangaa sana kwa kupinga hilo, sasa kigezo cha kushinda Vita ni kipi kama sio uwezo wa jeshi?, unategemea Tanzania tushinde vita dhidi ya Urusi, China, USA, UK au India.
Budjet ya jeshi sio kigezo sana mkuu...kuna mambo mengi sana...mfano mzuri ni Kenya na Nguvu zake za kijeshi...Kikundi kidogo tuu Alshabab kina waenyesha
Angazia pia kuhusu Vita vya vinavyoendelea Yemen,Saudi Arabia Anajuta sana mpaka sasa..
 
Nimekujibu mara nyingi sana sijui kwanini hutaki kuelewa.
1)Lengo la Egypt ni kuhakikisha kwamba maji ya mto Nile yanaendelea kutiririka katika njia yake ya asili.
3)Bwawa linapojengwa, huwa wanajenga "gates" katika njia ya asili ambazo huzuija maji katika kipindi cha kiangazi na yanafunguliwa katika kipindi cha mvua nyingi.
4)Hizi gates ndio targets za mashambulizi sio kingo za hilo bwawa
5)Hizi geti zikivunjwa, maji yataendelea kutiririka katika njia yake ya asili bila kizuizi wala kutoka nje ya njia zake za asili
6)Mashambulizi yanafanyiki katika kipindi cha kiangazi ambapo kina cha maji kipo chini sana
7)Egypt is a big and advanced country militarily, they know when, where and how to srike in order to achieve their goals with minimum side effects

Nadhani Ethiopia watachagua kujaza hilo bwawa la maji kwa awamu kidogo kidogo zaidi ya muda wanaotaka kujaza kwa sasa ili kuto athiri sana mtiririko wa hayo maji ya mto Nile. Kwa hiyo kwa kufuata njia hiyo wote kwa pamoja Misri na Ethiopia wataepusha vita isiyo ya lazima.
 
Tatizo la Ethiopia ana kiburi Sana, alishashauriwa ajaze kidogokidogo kwa muda kati ya miaka 12 had 21, kwasababu ndio uwezo wa huo mto, yeye analazimisha lazima ajaze ndani ya miaka 6. Almost rafiki zake wote wa Ethiopia duniani wamemshauri ajaze kidogo kwa huo muda mrefu lakini amekataa.
 
Hehe sasa hukuwa umejieleza hivi awali. Mbona unasema kuwa ulikuwa umejieleza hivi? Hii ndio mara yako ya kwanza kutaja targeted strike ya gates. Kama ni hivyo basi nakubali ila kumbuka kutengeneza gates zilizoharibika itaichukua Ethiopia muda mchache sana. Kwa hivyo haitaathiri Ethiopia sana. Kujenga kingo (walls) za dam ndio huwa inachukua miaka nyingi. Hio targetted striking ni useless kwa sababu haitazuia Ethiopia kujenga gates upya na kuendelea na kazi ya kuzalisha umeme. Itaisimamisha Ethiopia kwa mwaka moja tu.
 
Kisa ameku support..Tony unanichekesha..sana...Mnategemea demand isikue...tusubirie demand kubwa ya ghafla ndo tuanze kujenga sio ...?

Uliza kilichowatokea SA kutoinvest mapema...
Hoja yako haina miguu wala pa kukalia,kwa nini ku invest vast then ibakie iddle,Kenya hapo wako na uchumi mkubwa lakini matumizi ni chini ya mgwtt 2000 inamaana itachukua miaka zaidi ya 30 kufikia demand hii.
Kwa mujibu wa wizara ya Nishati kuna vyazo vya mito/mabwawa zaidi ya 5 vyenye uwezo wa kuzalisha wastani wa megawatt 300-400 za umeme wa maji vingiweza kujengwa hivyo kila kimoja kwa awamu then pesa inayosalia ifanye mengine.Kwa kufanya hivyo hiyo hali waliyofikia S.A isingewezekana.Watu wanalia mtaani maisha magumu sababu ya miradi kama hii maana unakuta 2/3 ya bajeti inaelekezwa kwenye mradi 1,hizi sio akili labda wewe utueleze uchumi uliosoma kama ndivyo unashauri.
 
Budjet ya jeshi sio kigezo sana mkuu...kuna mambo mengi sana...mfano mzuri ni Kenya na Nguvu zake za kijeshi...Kikundi kidogo tuu Alshabab kina waenyesha
Angazia pia kuhusu Vita vya vinavyoendelea Yemen,Saudi Arabia Anajuta sana mpaka sasa..
Kaka ninapata Shida sana kukujibu, mimi nimetoa vigezo vingi, wewe unachukua kimoja pekee, tukisema uhimara wa jeshi tunazungumzia mambo mengi, na bajeti ni kitu muhimu sana sana. Ukiwa na bajeti kubwa unaweza kulitengeneza jeshi lako vile upendavyo, sasa kweli kama bajeti yako ya yenye jumla ya wanajeshi laki 2 bajeti kwa mwaka ni $380M, utaweza kweli kununua military Drone yenye thamani ya $200M, si itaishia mishahara tu?
 
Tatizo la Ethiopia ana kiburi Sana, alishashauriwa ajaze kidogokidogo kwa muda kati ya miaka 12 had 21, kwasababu ndio uwezo wa huo mto, yeye analazimisha lazima ajaze ndani ya miaka 6. Almost rafiki zake wote wa Ethiopia duniani wamemshauri ajaze kidogo kwa huo muda mrefu lakini amekataa.

Watafikia muafaka tu, hapo Ethiopia ana kaza ili ku-push agenda ya mabadiliko katika matumizi ya maji ya mto Nile. Hivyo watafikia mahali watakubaliana tu. Kila nchi ina angalia maslahi yake kwanza kwa mwanzano hapa.. ila mwisho wa siku wote watakuwa na makubaliano ya pamoja yasiyo athiri pande zote mbili.
 
Sasa kama mnajua kuwa gas ni nafuu kushinda umeme na viwanda vingi vinatorokea upande wa gas na kuutelekeza kabisa utumiaji wa umeme ni hekima kweli kujenga jitu la 2,115 MW? Yaani GOT inataka sana kufanya viwanda vyenu vitumie gas na viwache kutumia umeme na upande mwingine wanapanua uzalishaji wa umeme
Mradi wa gas waliupotezea kwa sababu ulifanywa na awamu iliyopita hawa wanaojiita ccm mpya wakaona nao watafute miradi ya kupigia pesa,hii huwa ni kawaida ya kila awamu ya uongozi wa ccm.Waulize uchumi wa Gas uliishia wapi?
 
Nadhani Ethiopia watachagua kujaza hilo bwawa la maji kwa awamu kidogo kidogo zaidi ya muda wanaotaka kujaza kwa sasa ili kuto athiri sana mtiririko wa hayo maji ya mto Nile. Kwa hiyo kwa kufuata njia hiyo wote kwa pamoja Misri na Ethiopia wataepusha vita isiyo ya lazima.
Kwa kawaida michango yako huwa ya kipuuzi. Huu ndio mchango wako wa kwanza ambao umetumia akili. Hongera.
 
Hehe sasa hukuwa umejieleza hivi awali. Mbona unasema kuwa ulikuwa umejieleza hivi? Hii ndio mara yako ya kwanza kutaja targeted strike ya gates. Kama ni hivyo basi nakubali ila kumbuka kutengeneza gates zilizoharibika itaichukua Ethiopia muda mchache sana. Kwa hivyo haitaathiri Ethiopia sana. Kujenga kingo (walls) za dam ndio huwa inachukua miaka nyingi. Hio targetted striking ni useless kwa sababu haitazuia Ethiopia kujenga gates upya na kuendelea na kazi ya kuzalisha umeme. Itaisimamisha Ethiopia kwa mwaka moja tu.
Wakati mwengine huwa ninadhani kwamba haya ni mamba ya kawaida kila mtu anaelewa sihitaji kuwa very detailed kama ninafundisha darasani.

Actually sehemu nyeti zenye kugharimu pesa nyingi katika ujenzi wa dams ni hizo gates na sehemu za kufunga turbine za kuzalisha umeme, hizo kingo ni mchanga tu uliofanyiwa enforcement.

Hawawezi kujenga na Hakuna kampuni lolote litakalokua tayari kujenga tena kutokana na usalama wa wafanyakazi wao, tayari hilo eneo litakua limetangazwa kua ni target ya maambukizi ya kivita, Hakuna mtu atakayekuwa tayari kulikaribia, wakati wowote Cruse missiles inaweza kutua.
 
Bro we need all those....2115 is okay ..as long as we wont add after that for sometime like 5 yrs...HEP is the cheapest to produce ..na maintance sio kubwa ...plus it can be used as both Base and peak..
Kamwe Tzn haiwezi ku exhaust umeme huo wa 2115 ndani ya 5yrs,never kwa ukuaji upi huo ikiwa mgwt 1560 kuna surplus? Ikijitahidi sana labda ifikie 2000 by 2025 ,hii ikimaanisha huo mwingine utaendelea kuwa iddle kwa miaka mingi sana ijayo huku maintanance na running costs zikiwa palepale.
 
Watafikia muafaka tu, hapo Ethiopia ana kaza ili ku-push agenda ya mabadiliko katika matumizi ya maji ya mto Nile. Hivyo watafikia mahali watakubaliana tu. Kila nchi ina angalia maslahi yake kwanza kwa mwanzano hapa.. ila mwisho wa siku wote watakuwa na makubaliano ya pamoja yasiyo athiri pande zote mbili.
Kaka mbona kila mtu ameshajiandaa kwa matumizi ya nguvu na Ethiopia anaendelea kujaza hilo bwawa?, njia pekee ya kuzuia Ethiopia kuendelea kujaza na kuilazimisha kurudi katika meza ya mazungumzo ni njia ya kijeshi.
Are Egypt and Ethiopia heading for a water war?
 
Kamwe Tzn haiwezi ku exhaust umeme huo wa 2115 ndani ya 5yrs,never kwa ukuaji upi huo ikiwa mgwt 1560 kuna surplus? Ikijitahidi sana labda ifikie 2000 by 2025 ,hii ikimaanisha huo mwingine utaendelea kuwa iddle kwa miaka mingi sana ijayo huku maintanance na running costs zikiwa palepale.

lakini wakati mwingine huwa natamani nikupite ila naona hapana,unashusha hadhi ya hili jukwaa.

wewe unajua miaka 5 ijayo tz itakuwa na mahitaji kiasi gani ya umeme??tatizo ni moja.

wenzenu tunafikiria tz ya miaka miwili au mmoja na zaidi uajo nyinyi mnaona mliposimama leo.ndio sababu hata mnahoji ujenzi wa barabara.
 
huyo siasa zinamsumbua kabanwa makende na magu hana hamu wala usimlaumu ndio maana hua wanampuuza humu ndani😂😂😂
😂 😂 😂 😂 Magu yupi huyu huyu ambae watu wamempuuza sasa ameomba msaada wa tume ya uchaguzi kumjibia hoja na tuhuma au kuna Magu mwingine? Unajaribu kuwaeleza wakenya ambao hawafuatilii siasa za bongo sio,Kaanzishe uzi jukwa la siasa kumsifia Magu tuone nani kabanwa makende.
 
lakini wakati mwingine huwa natamani nikupite ila naona hapana,unashusha hadhi ya hili jukwaa.

wewe unajua miaka 5 ijayo tz itakuwa na mahitaji kiasi gani ya umeme??tatizo ni moja.

wenzenu tunafikiria tz ya miaka miwili au mmoja na zaidi uajo nyinyi mnaona mliposimama leo.ndio sababu hata mnahoji ujenzi wa barabara.
Unaniuliza mimi kwani wewe huoni growth rate ya mahitaji ya umeme? Kama hujui ingia kwenye tovuti ya wizara lakini angalia makisio ya uchumi utapata jibu.Narudia tena by 2025 hata hiyo mgwt 2000 itakuwa bado kufikia kuwe na sgr sijui smelter na vyoote mlivyotaja hapo juu.
 
Hoja yako haina miguu wala pa kukalia,kwa nini ku invest vast then ibakie iddle,Kenya hapo wako na uchumi mkubwa lakini matumizi ni chini ya mgwtt 2000 inamaana itachukua miaka zaidi ya 30 kufikia demand hii.
Kwa mujibu wa wizara ya Nishati kuna vyazo vya mito/mabwawa zaidi ya 5 vyenye uwezo wa kuzalisha wastani wa megawatt 300-400 za umeme wa maji vingiweza kujengwa hivyo kila kimoja kwa awamu then pesa inayosalia ifanye mengine.Kwa kufanya hivyo hiyo hali waliyofikia S.A isingewezekana.Watu wanalia mtaani maisha magumu sababu ya miradi kama hii maana unakuta 2/3 ya bajeti inaelekezwa kwenye mradi 1,hizi sio akili labda wewe utueleze uchumi uliosoma kama ndivyo unashauri.
Watanzania wenzako watakuattack ila upo sahihi. Nakubaliana nawe.
 
Watafikia muafaka tu, hapo Ethiopia ana kaza ili ku-push agenda ya mabadiliko katika matumizi ya maji ya mto Nile. Hivyo watafikia mahali watakubaliana tu. Kila nchi ina angalia maslahi yake kwanza kwa mwanzano hapa.. ila mwisho wa siku wote watakuwa na makubaliano ya pamoja yasiyo athiri pande zote mbili.
Upo sahihi. Sijui leo umekula nini?
 
Unaniuliza mimi kwani wewe huoni growth rate ya mahitaji ya umeme? Kama hujui ingia kwenye tovuti ya wizara lakini angalia makisio ya uchumi utapata jibu.Narudia tena by 2025 hata hiyo mgwt 2000 itakuwa bado kufikia kuwe na sgr sijui smelter na vyoote mlivyotaja hapo juu.

umeme ni bidhaa inayohitajika kila siku,ukizidi mahitaji utauzwa nje.lakini sio kushauri eti usizalishwe.

unakuwa unafikiri kwa kutumia kitu gani labda!!!!!!
 
Back
Top Bottom