Hii Kisumu inakaa ushagoo.Kisumu roads are better than Dar is slum roads.
View attachment 2859433
Kunyan hauna akili
Ule mkataba pia wa kudownload 😂Huyo ndo alipost pesa za kudownload na kusema ni zake na bado unapoteza muda kubishana nae! 😂😂😂
Sio copper tu kuna zinc, manganese zinatoka zambia maeneo yanaitwa kabwe au serenje huko zinamininika kwa fujoManager kapiga dongo kauliza Mombasa kuna mzigo wa export kama Dar port? Je kuna copper kule?
Tani mil.25 mwaka 2023/2024.🔥🔥🔥🔥Manager kapiga dongo kauliza Mombasa kuna mzigo wa export kama Dar port? Je kuna copper kule?
Duuh jamaa una roho ngumu wewe, bado upo na akili ile ile ya enzi ya kibaki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kenya ndio baba wa East Africa.
View attachment 2859177
Tunaenda kufikisha 25mln 2023/2024 Kwa port ya Dar tuu🔥🔥Teargas 2022 dar port imehudumia zaidi ya 21.4 tons
Naomba upitie hii video umsikilize mkuregenzi wa bandari 😅😅😅😅😅😅
Sasa subiri data za 2023 uone balaa lake najua hutofurahi maisha yako yote
Mpaka leo bado unajisifia kulipwa mshahara 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣I'm earning a six figure salary my friend.
Mombasa alone handles more cargo than all ports in uchawiland put together.Teargas 2022 data
Dar port 21.4m tons
Tanga port 1.5m tons
Mtwara port 1.02m tons
Mwanza port 0.8m tons
Etc
Naomba tuletee data ya lamu port (🐘🐘🐘) nifungulie mwaka na defender energy😅😅
2025 dar port alone itakua na 25m tons mark my words 😁😁😁😁😁😁
Tanga port 2025 itakua na 4.5m tons, mtwara port 2025 itakua na 3.5m tons
I don't discuss salary matters with a watchman juu najua wewe bado unalipwa 7,000 Kenyan shillings.Mpaka leo bado unajisifia kulipwa mshahara 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
You can't find the kind of roads in Kisumu anywhere in Tanzania.Hii Kisumu inakaa ushagoo.
Afadhali kidogo hata enzi ya Kibaki: huyu nyang'au kipchirchir arap Teargas bado yuko zile enzi za "Sir" Charles Njonjo😎😎😎Duuh jamaa una roho ngumu wewe, bado upo na akili ile ile ya enzi ya kibaki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣