ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,248
PK hana huo ujinga wa kuiga iga ili kumfurahisha Magu at expenses ya uchumi wa watu wake,kwanza Magu keshalikoroga na upande wa Rwanda na Uganda kiasi kwamba kila mtu anamshangaa,worse enough anatuharibia biashara yetu ya mbao na horticulture.Nnavyoona JPM anasubri aone commitment ya Rwanda kam wanataka kujenga Kigali-Rusumo..before kuamua ajenge...maana hamna umaana kujenga reli hadi rusumo kama Rwanda atafeli kujenga yake
Oktoba tunaondoa hii laggage

