The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Huo ukuta hapo pembeni wauvunje, umechakaa sana unaleta picha mbaya katika location nzuri kama hiyo.
Huo ukuta hapo pembeni wauvunje, umechakaa sana unaleta picha mbaya katika location nzuri kama hiyo.
vipi, nasikia wafanyakazi wa Lamu port wamehamishiwa Mombasa Port, kwani punda wameisha.Mombasa alone handles more cargo than all ports in uchawiland put together.
Hii Great White Elephant ni seasonal port mpaka mzigo wa ngania au mkaa uenee ndio meli ije.vipi, nasikia wafanyakazi wa Lamu port wamehamishiwa Mombasa Port, kwani punda wameisha.
Huko nyanda za juu kusini ni kwa kina ChoiceVariable au The Sunk Cost Fallacy 2Maji yakijaa huwa yanafunguliwa usiku yamwagike alishatuambia mzalendo namba mbili wa nchi hii baada ya Mwalimu Nyerere. Eti mvua za kujaza bwawa hazikunyesha miaka miwili ukanda wa nyanda za juu kusini, akamuongopee mama yake chawa huyo japo nmecheka jinsi alivyokuwa anasimulia 🤣🤣🤣🤣
So ongezeko ni dogo japo Kwa absolute value linaonekana kuongezeka kuliko mwaka uliopita ,shida ya bei kupanda Duniani zimeharibu productivity ya firms..
Mwisho bila shaka mwaka 2023 , growth rate inaweza kuwa zaidi ya 5 Kwa sababu kutakuwa na stability ya food supply maana mvua ziko vizuri Ila pia kuanzia 2024 huko uchumi utarudi kule kwenye 7% maana nyingi ya investments zinazofanywa Sasa zitakuwa zimeanza kuzalisha.
Haka kajamaa kalihoji kwann tusijenge bwawa la MW 400 na sio MW 2000.. leo hii bila aibu anafurahia MW 2000 kufika mwishoni mwishonNdio maana maccm yanakataliwa kila sehemu na yamepandwa na joto kama la bleed..Kama hapo section (a) umeme uko surplus kuna haja gani ya kutumia tilion of money kuzalisha iddle electricity? kwa nini lisingejengwa bwawa la mgwt 400 na pesa zingine zikafanye mambo mengine ya msingi ya kuinua vipato vya wananchi? maccm kichwani ni bure kabisa,tutawanyoosha oktoba kwa matumizi mabaya ya pesa za sie walipakodi
😆Kamwe Tzn haiwezi ku exhaust umeme huo wa 2115 ndani ya 5yrs,never kwa ukuaji upi huo ikiwa mgwt 1560 kuna surplus? Ikijitahidi sana labda ifikie 2000 by 2025 ,hii ikimaanisha huo mwingine utaendelea kuwa iddle kwa miaka mingi sana ijayo huku maintanance na running costs zikiwa palepale.
🤣🤣🤣 Kajamaa kalijifanya yeye sio ccm, saivi kila siku kinamsifia mama,. Probably huyo mpumbavu ni kati ya wale washenzi waluotumbuliwa na Magufuli, kila ilivyo atakuepo kwenye kundi la wafoji vyeti.Haka kajamaa kalihoji kwann tusijenge bwawa la MW 400 na sio MW 2000.. leo hii bila aibu anafurahia MW 2000 kufika mwishoni mwishon
Leo hii zinaendelezwa, kamegeuka.. kamebaki kushabikia kuwa mama ameikuta chini ya 30% na sasa ameipeleka zaidi ya 90%Sijawahi kubaliana na aina ya miradi ya serikali ya ccm maana mingi ni miradi ya show off na kujitutumua ambayo kimsingi itasababisha hali ya maisha ya watzn kuwa ngumu kuliko kuwasaidia
Haiingii akilini kuhangaika na midege,sgr,sijui umeme wa matrioni wakati hata mgwatt 1360 za sasa zina soma surplus,hizo zingine zote za kazi gani? Madaraja ya kuvuka maziwa na bahari ya kazi gani? Hivi tunavyoongea barabara ni kero kubwa sana kwa nchi,mahospitali na shule usiseme kuna msongamano ni hatari yaani serikali inachojigamba ni kitu kidogo sana ukilinganisha na mahitaji halisi na kasi ya kuzaliana.
Juhudi zingeelekezwa kwenye miradi ya msingi ya kumsaidia mwananchi directly yaani kinachotusaidia watzn ni ahueni ya mazingira sio harsh kama Kenya,Ethiopia na nchi zingine za pembe ya Africa vinginevyo tungesaga meno
😂😂😂 Dah.! Kijamaa ni kipumbavu sanaLeo hii zinaendelezwa, kamegeuka.. kamebaki kushabikia kuwa mama ameikuta chini ya 30% na sasa ameipeleka zaidi ya 90%
Ni Mkenya mwenye kutafuta validation na kukuza kiswahili.🤣🤣🤣 Kajamaa kalijifanya yeye sio ccm, saivi kila siku kinamsifia mama,. Probably huyo mpumbavu ni kati ya wale washenzi waluotumbuliwa na Magufuli, kila ilivyo atakuepo kwenye kundi la wafoji vyeti.
hapo alikuwa anamsema Magu, jamaa mnafki sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haka kajamaa kalihoji kwann tusijenge bwawa la MW 400 na sio MW 2000.. leo hii bila aibu anafurahia MW 2000 kufika mwishoni mwishon
Haka kasenge siku hizi huwa nakaona kama ka chale fulani, huwa nacheka tu na post zake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Leo hii zinaendelezwa, kamegeuka.. kamebaki kushabikia kuwa mama ameikuta chini ya 30% na sasa ameipeleka zaidi ya 90%
Pro ccm wengi wako kimaslahi yao binafsi na si kwa ajili ya nchi,hata yule maria sarungi ndio kama hawa machawa wa humu,kikubwa kama nchi tunahitaji katiba mpya ili hata hawa machawa wapate kujitambua🤣🤣🤣 Kajamaa kalijifanya yeye sio ccm, saivi kila siku kinamsifia mama,. Probably huyo mpumbavu ni kati ya wale washenzi waluotumbuliwa na Magufuli, kila ilivyo atakuepo kwenye kundi la wafoji vyeti.
ChoiceVariable njoo uone ulichokua unakipinga kipindi cha magu hapa,leo hii unakisifia pambavu,wewe ni chawa pro max maku wewe,mnaangalia maslahi yenu tu shwainSijawahi kubaliana na aina ya miradi ya serikali ya ccm maana mingi ni miradi ya show off na kujitutumua ambayo kimsingi itasababisha hali ya maisha ya watzn kuwa ngumu kuliko kuwasaidia
Haiingii akilini kuhangaika na midege,sgr,sijui umeme wa matrioni wakati hata mgwatt 1360 za sasa zina soma surplus,hizo zingine zote za kazi gani? Madaraja ya kuvuka maziwa na bahari ya kazi gani? Hivi tunavyoongea barabara ni kero kubwa sana kwa nchi,mahospitali na shule usiseme kuna msongamano ni hatari yaani serikali inachojigamba ni kitu kidogo sana ukilinganisha na mahitaji halisi na kasi ya kuzaliana.
Juhudi zingeelekezwa kwenye miradi ya msingi ya kumsaidia mwananchi directly yaani kinachotusaidia watzn ni ahueni ya mazingira sio harsh kama Kenya,Ethiopia na nchi zingine za pembe ya Africa vinginevyo tungesaga meno
Ndio maana huwaga wapole kwa Tanzania na kujikombakomba kwingi, wanajua kitachowapata tukiamua 😂😂Kwann tunawauzia coal? tuwauzie end product na sio raw materials.