stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 38,310
- 38,015
kufa hutokufa ila chamoto lazima ukione
View: https://x.com/Njeriwaridi/status/2105399687717003490?s=20
View: https://x.com/Njeriwaridi/status/2105399687717003490?s=20
Museven kawaambia kabisa saudi arabia kuna refinery 9,so aoni hata ajabu tanga na hoima kuwa refinery 😃
Machafu mnuka nyaa ameng'ang'ania tanga aijengwi refinery 😃,yan wangese wamekurupuka kujenga refinery halafu oil pakuipata hawajui mpaka sasa hivi,wanakuambia turkana eti 😃😃General M7 alipiga kwenye mshono pale pale. Wazee hawanaga unafiki kabisa. Alimchana live.
Sasa hiyo ianze kuwapa uhalisia wa biashara yao hiyo. Kuanzia wapi watanunua mafuta ghafi na wapi watauza mzigo wao. Itabidi wankabidhi Dangote nusu ya nchi kushikilia mtaji wake atakaoweka hapo.
First Mafuta ni ya Total, secondly Museveni clearly talked about Hoima refinery. For Tanga he was just unaware of why Dangote didn't choose it. He said " I don't know what happened..."Hii ni maajabu 😂😂😂 mwenye ako na mafuta kasema atawekeza Tamga, wewe usie na mafuta unatucheka. 😂😂😂
Mafuta ni ya total tena 🤣🤣 EACOP pipeline isnt the same as resource ownership bi mdadaFirst Mafuta ni ya Total, secondly Museveni clearly talked about Hoima refinery. For Tanga he was just unaware of why Dangote didn't choose it. He said " I don't know what happened..."
sema ELctric train to raila cowshed madameRailway to Talanta Stadium View attachment 3681909
You will get old and die before seeing any refinery being in Tanga.Acha ujinga na wewe, refinery sio crude oil pipeline useme moja inatosha kwa mazingira yaliyopo, refinery zinaweza kuwa hata 10 kulingana na uhalisia uliopo. Refinery ya Tanga ni unavoidable, dangote ni kama muda wake unakwenda kuisha na ndiyo mana ilikuwa rahisi kumuongopea ajenge lamu wkt pesa iko Tanga. Akijaribu ku divert ndiyo mwisho wake utakuwa hapo, na ndiyo mana hata yeye mwenyewe ameshangaa ameshawishiwa vp kwenda lamu na sio Tanga. Ss Tanzania huwa hatuna mihemko, jiografia inatu favour tuwe hivyo, hata tukikaa kmy wenyewe mtarumbana mwishowe hitimisho litatoka kwamba sehemu safe ni Tanzania, blessed land.