Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata yule wa kenya alianzisha dini yake.. akasema mkishinda njaa na mkikufa mtaenda mbinguni.. hio ni dini tayari.. ndo mana kuna uislam, ukiristo, ubudha, etc..
mf, hata yule wa kenya angesema alichofanya tukiite sijui 'shakobambi' sijui nn... ingeitwa dini kwa hilo jina.. so matokeo yake watu wangesema sisi dini yetu (tuipe jina chakobambi) inasema ukishinda njaa na kufa utaenda mbinguni
Mwanzo kabisa siyo mwanadamu bali ni Mungu aliweka maono na maarifa kwa mwanadamu.

Sasa ikaingia uchakachuaji na ukengeufu watu wakaanza kupotosha msingi na kusudio la Mungu.

Mahali palipo na Fake jua ipo Original yake. Haya yote unayoyaona yalishatabiriwa, manabii wa uongo watajitokeza kwa jina lake na kudanganya wengi.

Wanajitokeza manabii wa uongo ili kutimiza unabii wa maandiko. Soma Mathayo 24 yote mkuu.
 
Kwahio nikiamuru laptop yangu kwa kuiambia zima.. na ikazima ..laptop yangu inakuwa kiumbe hai?
Au hata hizi simu zetu, ukisema switch off, na ikaswitch off.. simu inakuwa kiumbe hai?
Inakuwa kiumbe hai kwasababu imesikia sauti na kutii. Kiumbe hai husikia sauti.

Hapa alizungumzia kiroho zaidi, maana yake hakuna jambo linalotokea mwilini pasipo kuanzia rohoni.

Hii mada naona hapa si pahala pake.
 
Ni mahali pake kama itasaidia kuondoka ujinga.. elimu haina mwisho.. penda sana kujifunza kitu mana hujui itakusaidia wapi..
Upepo sio kiumbe hai.. kiumbe hai ni kitu kinachoweza kujikongoja au kumove au kuzaliana au kuhisi au kupumua chenyeww. Upepo una sifa gan hapo hata moja?
 
Holy books?, books za wazungu na waarabu, ambao hao hao wanatuletea ushoga na tunaukataa. Walipotuletea vitabu vyao tukaviita "Holy books" Leo hii maagizo Yao ushoga kwanini pia tusiyaite "Holy directives?".

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hivi kizazi cha akina mwl Nyerere kilivyokuwa na uadilifu katika Uongozi, misingi imara waliyoiacha, ungetegemea kingekuja kizazi cha ufisadi, wizi, rushwa, upigaji, na upuuzi mwingine?

Tunaweza kuwalaumu kwamba kama wao walijenga Taifa la uadilifi iweje sasa hivi kuna wizi?

Wazungu au Waarabu walioasisi dini wale wa mwanzo hawakusema vizazi vijavyo viruhusu ushoga na usagaji.

Ukengeufu wao wa sasa hivi na hasa kutimiza unabii tusiwahukumu waliotangulia, au tusitumie maovu ya kizazi cha leo kuhalalisha uovu wetu.
 
Mwanzo kabisa siyo mwanadamu bali ni Mungu aliweka maono na maarifa kwa mwanadamu.

Sasa ikaingia uchakachuaji na ukengeufu watu wakaanza kupotosha msingi na kusudio la Mungu.

Mahali palipo na Fake jua ipo Original yake. Haya yote unayoyaona yalishatabiriwa, manabii wa uongo watajitokeza kwa jina lake na kudanganya wengi.

Wanajitokeza manabii wa uongo ili kutimiza unabii wa maandiko. Soma Mathayo 24 yote mkuu.
Bila shaka wewe ni mkristo. So ukristo ambapo ndio ulipo ndo dini original, na dini nyingine ni fake?
 
Ni mahali pake kama itasaidia kuondoka ujinga.. elimu haina mwisho.. penda sana kujifunza kitu mana hujui itakusaidia wapi..
Upepo sio kiumbe hai.. kiumbe hai ni kitu kinachoweza kujikongoja au kumove au kuzaliana au kuhisi au kupumua chenyeww. Upepo una sifa gan hapo hata moja?
Mkuu naamini uwezo wako na naheshimu mawazo yako hii mada achana nayo.
 
Ni mahali pake kama itasaidia kuondoka ujinga.. elimu haina mwisho.. penda sana kujifunza kitu mana hujui itakusaidia wapi..
Upepo sio kiumbe hai.. kiumbe hai ni kitu kinachoweza kujikongoja au kumove au kuzaliana au kuhisi au kupumua chenyeww. Upepo una sifa gan hapo hata moja?
Upepo hausafiri? Si ndio kujongea mkuu?

Kisayansi unaweza kusema hauna uhai ila kiroho ni hai.

Tunapishana na wewe kwasababu unajikita Kisayansi zaidi, huku mimi niko kiroho zaidi.
 
Mkuu, hata wewe unaamini kuwa tulitokana na Chimpazee mzee?
Mkuu, Mimi ni muumini wa Sayansi na ninaijua vizuri Sana, ukichunguza kwa makini Sana, utaelewa kwamba viumbe vyote "once vilianzia Kama "Single cell organisms, kuanzia hapo safari ya multiplication of single cell ikaanza na species mbalimbali zikajitokeza kutokana na nguvu za mazingira za maeneo husika na vipindi mbalimbali katika umri wa Dunia.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, Mimi ni muumini wa Sayansi na ninaijua vizuri Sana, ukichunguza kwa makini Sana, utaelewa kwamba viumbe vyote "once vilianzia Kama "Single cell organisms, kuanzia hapo safari ya multiplication of single cell ikaanza na species mbalimbali zikajitokeza kutokana na nguvu za mazingira za maeneo husika na vipindi mbalimbali katika umri wa Dunia.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hizo nguvu za kimazingira zimetokea wapi na nani muanzilishi wa hizo nguvu au zimejitokea zenyewe tu bila muanzilishi.
 
Mkuu, Mimi ni muumini wa Sayansi na ninaijua vizuri Sana, ukichunguza kwa makini Sana, utaelewa kwamba viumbe vyote "once vilianzia Kama "Single cell organisms, kuanzia hapo safari ya multiplication of single cell ikaanza na species mbalimbali zikajitokeza kutokana na nguvu za mazingira za maeneo husika na vipindi mbalimbali katika umri wa Dunia.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mimi pia ninaamini huyu anayeitwa Mungu kwamba ndiye muumba wa vitu vyote. Siyo kwamba namjua Yeye kwasababu eti niliambiwa na wazazi wangu la hasha ni kwa maarifa yangu.

Na hapa sina jinsi ya kukuaminisha ili unielewe na kuniamini mambo mengine hubakia sirini siku zote.
 
Back
Top Bottom