ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,418
- 88,513
Siku hizi kusoma Muhimbili ni bahati pia na akili uwe nazo.Kuna docs nilikuwa nacheck jina la mtu fulan kuona kama anasoma masters muhimbili, nimeshangaa kuona wakunya wamejazana, wakat humu wanasema hawaji kusoma Tanzania. List ni ndefu ila nawapa hii tu kama kidokezo
View attachment 2638928
Hata wiki haijapita ,Wakunya wameanza kulia lia baada ya kiminyo Cha Wizara ya Kilimo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2639191![]()
Maize millers protest rule barring farmgate purchases in Tanzania
A section of millers in Kenya have expressed grave misgivings as to what this directive means for the country.nation.africa
Nendeni Zambia mlikosema mtanunua au kuagiza GMO mbwa nyie
kwa hili wakenya mpo vizuri sana sio kama sisi wadanganyika kila kitu kipo Dar na dodoma hata ukitaka kuona flyover ni lazima uende dar, na kama ukitaka huduma za kiserikali zote itakubidi usafiri mpaka Dodoma.Kenya tumeweka kila kitu Nairobi vipi na kuna ugatuzi?
County goverment na Huduma centres ambazo ziko kila County zinahakikisha mkenya anaweza zaliwa na kufa bila kuwahi kanyanga Nairobi kwa sababu ya huduma za kiserikali including kupata passport, birth certificate, pension, jobs, etc
Danganyika hamna ugatuzi, viongozi wa mkoa wanachaguliwa na serikali ya kidikteta ya CCM 🤣🤣
Kwani ilikuwa ni bure mzee?Mjuba The best 007 usipende vitu vya bure, View attachment 2638304
..MADE IN CHINA
"Sio Boeing, wala si Airbus"
Saa chache zilizopita, Ndege ya Comac C919 inayotengenezwa nchini China imekamilisha safari yake ya kwanza ya kibiashara ikiwa rangi za mteja wa kwanza China Eastern Airlines.
Airlive.netView attachment 2639294
Nenda pale DMI chuo cha ubaharia wamejaa wakenya kibao,kunyan kujikwaza tu lakini hawana loloteKuna docs nilikuwa nacheck jina la mtu fulan kuona kama anasoma masters muhimbili, nimeshangaa kuona wakunya wamejazana, wakat humu wanasema hawaji kusoma Tanzania. List ni ndefu ila nawapa hii tu kama kidokezo
View attachment 2638928
Mpumbavu huyo janki hana akili.Bado bei za umeme no kubwa sana.Chaajabu,wanajenga huo umeme wa jua ambao ni wa gharama kubwa.
Utawezaje kuwa na ukuaji wa viwanda kama bei za umeme ni Juu? Kwanini tusiwaige wachina wanaojenga mabwabwa ya hydro electric kila mwaka? Hivi watanzania tumerogwa?
Serikali kwenye hili imecheza kama pele,tena iangalie na mazao mengine kama parachichi na apples wafanye kama hiviHata wiki haijapita ,Wakunya wameanza kulia lia baada ya kiminyo Cha Wizara ya Kilimo 😁😁😁😁
View attachment 2639191![]()
Maize millers protest rule barring farmgate purchases in Tanzania
A section of millers in Kenya have expressed grave misgivings as to what this directive means for the country.nation.africa
Nendeni Zambia mlikosema mtanunua au kuagiza GMO mbwa nyie
zambia imezuia mahindi yetu toka feb wafanyabiashara wetu wanaiomba serikali kila siku ikawaombee mahindi waweze kuyavusha tunduma ila serikali ya zambia imebana watanzania wayauze mahindi ndani ya zambia ila kutoka hayatoki,nahisi ndio maana na sisi tumeshtuka na kuzuia hawa kunyaz kuingia mashambaniWanunue zambia kisha wapitishe kwenye barabara za nani ? Labda wazunguke nayo huko kongo.