Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Okay. There’s a lot to unpack here.

Tuanze na hii point yako:

Ushoga haukubaliki hata mkijificha kwenye kichaka cha haki za binadamu, kwanza ukiacha katazo la kidini kuhusu ushoga lkn hata kisayansi ushoga una athari nyingi, mtu ukiwa shoga baadaye una haribikiwa, sasa kama una athari kwnn tuu tolerate?

Hizi athari za kisayansi unazozizungumzia ni zipi? Mtu anaharibikiwa kivipi? Nipe SCIENTIFIC explanations si story za viniweni.

Sikatai kwamba wazazi wengi wana expectations za watoto wao kuishi maisha “typical,” that is kufanya ndoa na kuishi kama baba na mama na kuzaa watoto. Lakini Hakuna mtu anayechagua kuwa shoga. Ni Sawa na Wewe ambaye si shoga useme leo kuwa unaamua kuwa shoga. Nina uhakika haiwezekani. Na hii ni misconception kubwa kwasababu watu wengi wanadhani mashoga wamechangua kuwa hivyo walivyo.

Kuhusu mashoga kuzaa naomba usome replies zangu nyingine kwasababu nimeshaeleza kiundani. Mashoga wanaweza kuwa na watoto wao. Simaanishi kuwa mwanaume anaweza kuwa na uterus. Namaanisha kuwa anaweza kutumia sperm yake na eggs Za mwanamke kufanya fertilization via IVF! Hii ni science.

Na Wewe si mtu wa kuamua kuwa ushoga ni uovu. You come from Religion na inanishangaza kuwa unadhani unaweza kuamua maisha ya kila mtu Kwa kutumia Imani yako. Know your limits.

Na hapa nilikuwa napasubiri. SIKU ZOTE watu wanatumia OTHER CRIMINAL OFFENSES kulinganiha na homosexuality. And it doesn’t make SENSE. Huwezi kusema kuwa jambo Fulani ni crime bila kulinganisha na crime nyingine na hii inaonyesha jinsi argument yako ilivyo WEAK. Any criminal offense will have adverse effects on the people responsible and those affected. Sasa niambie adverse affects Za homosexuality kwa individual na jamii.
Hoja zangu hujazijibu ipasavyo ndugu.
 
Very good my brother, Niko hapa ninasubiri uendelee kutoa shule.,,

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, hata wanyama wapo mashoga, Kama ilivyo kwa binadamu japo ni very "rare", hata kwa binadamu pia ushoga upo japo ni very "rare". Inashangaza Sana kuona wanyama wanavumiliana kuwa na wenzao ambao tabia zao ni tofauti lakini binadamu tunashindwa kuvumilian, huu ni ubinafsi wa hali ya juu Sana wa binadamu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Twiga, national animal wa Tanzania wana-engage in male-male sex more often than male-female sex. So most giraffes are actually homosexual. According to religion, these creatures were created by God. If God is all knowing and all seeing, how could he have made such a “mistake?”
 
Ushoga haukubaliki hata mkijificha kwenye kichaka cha haki za binadamu, kwanza ukiacha katazo la kidini kuhusu ushoga lkn hata kisayansi ushoga una athari nyingi, mtu ukiwa shoga baadaye una haribikiwa, sasa kama una athari kwnn tuu tolerate?

Mzazi gani angependa awe na mtoto shoga? Unakuwa shoga ili iweje? Mana lengo kuu la sex ukiacha starehe ni kuzaana, je unakuwa shoga ili uzae au? Na kwnn shoga hazai? Ile sehemu ipo kule nyuma sio kwasababu za kuingiliwa bali kujisaidia tu na si vinginevyo, hata mwanamke anayefanywa kule nyuma mwishowe hupata hitilafu kubwa za kimwili, kwnn mnalazimisha kuwe na usawa kwenye jambo ovu namna hiyo?

Kwnn tusiungane kupinga kwa dhati kabisa tabia hizi za kishenzi? unasema mtu akiwa shoga hamuathiti mtu mwingine na kwamba aachwe, je mtu akiwa teja anamuathiri nani? Mbona mateja mnawasumbua wakati hawawaathiri chochote? Kwnn machoko mnataka tuwaache?
Mbuzi hakosei na hana akili ila binaadamu ndio anakosea 😆😆😆 alaf wanatoa tamaduni zao kudandiana huko wanatuletea africa ila tusahau tamaduni zetu na utu wetu, alaf ukiwaabana wanakwambia haki za binaadamu yani haki za binaadamu ndio imekua kama kivuli cha kuficha laana na maovu yao alaf chakushamgaza haki za binaadamu ziko africa tu ila kwao huziskii juzi kati ufaransa watu wametandikwa kisawasawa lakini sijaskia wakisema haki za binaandamu na sijaona hata media moja yao ikionesha kisago kile 😆😆😆😆
 
Twiga, national animal wa Tanzania wana-engage in male-male sex more often than male-female sex. So most giraffes are actually homosexual. According to religion, these creatures were created by God. If God is all knowing and all seeing, how could he have made such a “mistake?”
@The best 007
ichoboy01

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mbuzi hakosei na hana akili ila binaadamu ndio anakosea alaf wanatoa tamaduni zao kudandiana huko wanatuletea africa ila tusahau tamaduni zetu na utu wetu, alaf ukiwaabana wanakwambia haki za binaadamu yani haki za binaadamu ndio imekua kama kivuli cha kuficha laana na maovu yao alaf chakushamgaza haki za binaadamu ziko africa tu ila kwao huziskii juzi kati ufaransa watu wametandikwa kisawasawa lakini sijaskia wakisema haki za binaandamu na sijaona hata media moja yao ikionesha kisago kile
Mkuu soma hii post hapa chini

(Twiga, national animal wa Tanzania wana-engage in male-male sex more often than male-female sex. So most giraffes are actually homosexual. According to religion, these creatures were created by God. If God is all knowing and all seeing, how could he have made such a “mistake?”)

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Bora tuwakubali wahindi na wapakistan kuliko Wakenya mkuu, hao wahindi na wapakistan hawana tatizo lolote na Watz ila Wakenya sio watu kabisa. Mombasa ni sehemu ya Tz haina shida na watu wake wengi wana elements za ki Tz ila Wakenya weusi kutoka maeneo mengine ukiacha Mombasa ni mbwa sana.
Tatizo mnaiogopa Sana Mombasa, munatamani ingekua tanzakundu badala ya dar slum.
 
Kwanza tumalizane na ushoga. Kusumbuliwa au kutosumbuliwa kwa mateja hakuna Uhusiano wowote na ushoga, ila Kama tumekubaliana kwamba huku kwenye ushoga kumetulia, tuhamie kwenye mateja.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huo ni mfano halisia kabisa, lengo la kukataa uteja ni kutokana na athari zinazopatikana kwenye tabia hiyo, vivyo hivyo ushoga una athari kubwa kwa afya ya mwanadamu na ndiyo maana tunapinga ushoga, pia hata kimaadili sio sawa mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbile sio tu mwanaume bali hata mwanamke sio vizuri kiafya.

Mkuu ngoja nikuulize swali la kizushi, hivi wewe uko ladhi mwanao aingiliwe kinyume na maumbile? Unajua tusiweke mijadala kwa minajili ya kuonekana tunashinda au kuonekana wazuri kwenye kujenga na kutetea hoja, je wewe ungefurahi mwanao kufanyiwa hivyo? Na kama hutofurahi kwnn usikemee japo kupunguza tabia hiyo?

Hatuwezi kumaliza tatizo lkn pia hatuwezi kukaa kimya tatizo linapotokea, ni lazima kupambana kulipunguza, Tanzania hairuhusu ushoga na ndiyo maana yule askari alipogundulika ni shoga alifukuzwa.
 
Mkuu soma hii post hapa chini

(Twiga, national animal wa Tanzania wana-engage in male-male sex more often than male-female sex. So most giraffes are actually homosexual. According to religion, these creatures were created by God. If God is all knowing and all seeing, how could he have made such a “mistake?”)

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huu ndio ushahidi wake?? Ushoga unalazmishwa africa kwann sio asia kwann hawalazmishi huko? juzi tu kombe la dunia tumeona msimamo wa qatar na umefatwa bila vikwazo wala nn na wameenda na wamefata sheria za qatar na pombe hazikuruhusiwa achia mbali ushoga hehehe

Haki za binaadamu ziko africa tu ndio zinatumika kama kivuli cha kutangaza laana zao
 
Huo ni mfano halisia kabisa, lengo la kukataa uteja ni kutokana na athari zinazopatikana kwenye tabia hiyo, vivyo hivyo ushoga una athari kubwa kwa afya ya mwanadamu na ndiyo maana tunapinga ushoga, pia hata kimaadili sio sawa mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbile sio tu mwanaume bali hata mwanamke sio vizuri kiafya.

Mkuu ngoja nikuulize swali la kizushi, hivi wewe uko ladhi mwanao aingiliwe kinyume na maumbile? Unajua tusiweke mijadala kwa minajili ya kuonekana tunashinda au kuonekana wazuri kwenye kujenga na kutetea hoja, je wewe ungefurahi mwanao kufanyiwa hivyo? Na kama hutofurahi kwnn usikemee japo kupunguza tabia hiyo?

Hatuwezi kumaliza tatizo lkn pia hatuwezi kukaa kimya tatizo linapotokea, ni lazima kupambana kulipunguza, Tanzania hairuhusu ushoga na ndiyo maana yule askari alipogundulika ni shoga alifukuzwa.
Sio kufukuzwa na hatua alichukuliwa za kisheria kabisa ikiwemo kupandishwa mahakamani yani MUNGU akuumbe kwa umbile zuri aweke sehemu za haja ww kwa vile una ushetani ukabadilishe matumizi kwa kumpanda mwanaume mwenzio wakat wanawake wamejaa tele na wameletwa wawe kiburudisho kwetu
 
Sio kufukuzwa na hatua alichukuliwa za kisheria kabida ikiwemo kupandishwa mahakamani yani MUNGU akuumbe kwa umbile zuri aweke sehemu za haja ww kwa vile una ushetani ukabadilishe matumizi kwa kumpanda mwanaume mwenzio wakat wanawake wamejaa tele na wameletwa wawe kiburudisho kwetu
Sasa ikiwa sheria za nchi zinakataza ushoga mm ni nani niukubali? Kama uteja tunaupinga kwnn ushoga tuukubali?
 
Back
Top Bottom