ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
So hio propaganda ndio kigezo cha ushoga au??? Mbona hatuoni mbuzi dume akizaa au kondoo dume akizaa ?? Sijawah kuona wala kuskia![]()
Gay Animals Who Prove Same-Sex Love Is Natural
Humans aren’t the only ones born this way – countless other species have been observed engaging in same-sex relationships, too.www.peta.org.uk
Mkuu, ikikupendeza tuwekee ushahidi wa uwepo wa Mungu na Shetani, ukishapata ushahidi wao, tafadhali tunaomba ushahidi kwamba lengo la binadamu duniani ni kuzaa, nani aliyeweka hilo lengo na aliliweka lini?,,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nilikwambia tena na ninarudia kwenye haki za binaadamu nyuma yake kuna propaganda kubwa ya kikatili iliojificha
Na kama ww hujui lengo ni kuzaa niambie ww ulikuja kufanya nn duniani?? 😆😆 na usinambie ulizaliwa bahat mbaya na kama sio lengo kwann watu wazae na nani aliwafundisha kua wakikutana watapata mtoto au bahati mbaya kama sayansi inavotudanganya kua binaadamu alitokana na nyani ?? 😁😁😁wengine wanakwambia dunia ilikuja by nature tu