Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu tuletee bei ya unga Tanzania tulinganishe. Na ufahamu mwaka jana tumekua na kiangazi ndo maana ukulima wa mimea kama mahindi ulitatizika
Alafu wakenya waliacha kukuza mimea ya kipuzi kama mahindi unless iwe large scale. Unapata inakugharimu around 2000 kukuza mfuko moja wa 90kg kisha uiuze 2500 baadae ya miezi 7. Mahindi haina faida kenya, wakulima wengi wanaona heri kukuza mimea ina faida kama horticulture kisha wanunue mahindi ya matumizi yao kutoka kwa wakulima wengine
Ni mwaka gani Kenya haikua na njaa?
 
Maua tunauza kisha tunanunua mahindi. The thing is, kilimo ya mahindi has low ROI ikilinganishwa na mazao mengine kama za horticulture. Ndio maana tunakuja maua na mimea zingine na kutumia pesa tunayopata kununua mahindi
Hakuna Mzungu mwenye shida ya mahindi, maua ni ya Mzungu
 
Hebu tuletee bei ya unga Tanzania tulinganishe. Na ufahamu mwaka jana tumekua na kiangazi ndo maana ukulima wa mimea kama mahindi ulitatizika
Alafu wakenya waliacha kukuza mimea ya kipuzi kama mahindi unless iwe large scale. Unapata inakugharimu around 2000 kukuza mfuko moja wa 90kg kisha uiuze 2500 baadae ya miezi 7. Mahindi haina faida kenya, wakulima wengi wanaona heri kukuza mimea ina faida kama horticulture kisha wanunue mahindi ya matumizi yao kutoka kwa wakulima wengine
Mahindi hayana faida wakati mnaandamana kulalamika unga ushuke bei! unga unatengezwa na nini? hivi Wakunya reasoning yenu mbona ipo low sana?
 
But to be honest bei zenu na zetu haziachni sana then kuna zingine mnatuzidi hata.
ndugu yangu Nicxie huku Tz sio kila raia ananunua unga, idadi kubwa ya watanzania ni wakulima (wanamiliki mashamba) hayo mahindi ukitoa gharama za kilimo, kinachowagharimu kingine ni pesa ya kukoboa na kusaga (hii ni kama Tz sh 200 tu) .. na wengi wasio na mashamba hununua mahindi na kwenda kusaga wenyewe .. kwahyo number kubwa ya wabongo hutumia pesa kidogo tu kwaajili ya msosi.. hizo mboga mboga ndio usiseme ukiachana na DAR mikoa mingi ya Tz karibu kila nyumba (za waTz maskini au wa maisha ya kati) utakuta kuna bustani za mboga mboga, kwamfano Arusha katikati ya mji wao (jijini) kuna bustani za mboga mboga kibao.. kwahyo msosi bongo sio noma na ndio mana huwezi kuona tunaandamana eti kisa kukosa msosi.. na vile tumebarikiwa kila aina ya mazao bongo yanaota ..
 
Kumbe bei ni sawa na huku kwetu, sasa iweje wenzetu huko mnasema maisha yapo juu ilihali huku kwetu hatulalamiki? Je hapo jirani zetu mnaitendea haki ile status ya nchi za uchumi wa kati?
Serikali ya Uhuru ilikua imeweka ruzuku kwa bidhaa kama unga na mafuta, Ruto kuingia akazitoa hizi subsidies na kufanya bei zipande. Watu wanaandama wakililia hizi ruzuku zirudishwe
 
This poor souls from danganyikaland cannot afford unga huko kwao but they cannot protest because of CCM ruthlesness na uoga mingi ya ujamaa
tungekuwa tunakufa njaa basi kama ninyi au tungekuwa tunapokea misaada ya chakula kila siku
 
ndugu yangu Nicxie huku Tz sio kila raia ananunua unga, idadi kubwa ya watanzania ni wakulima (wanamiliki mashamba) hayo mahindi ukitoa gharama za kilimo, kinachowagharimu kingine ni pesa ya kukoboa na kusaga (hii ni kama Tz sh 200 tu) .. na wengi wasio na mashamba hununua mahindi na kwenda kusaga wenyewe .. kwahyo number kubwa ya wabongo hutumia pesa kidogo tu kwaajili ya msosi.. hizo mboga mboga ndio usiseme ukiachana na DAR mikoa mingi ya Tz karibu kila nyumba (za waTz maskini au wa maisha ya kati) utakuta kuna bustani za mboga mboga, kwamfano Arusha katikati ya mji wao (jijini) kuna bustani za mboga mboga kibao.. kwahyo msosi bongo sio noma na ndio mana huwezi kuona tunaandamana eti kisa kukosa msosi.. na vile tumebarikiwa kila aina ya mazao bongo yanaota ..
Aliyekuambia wakenya hawalimi mahindi kwa minajili ya matumizi ni nani? Tangu nikiwa mtoto hakuna siku tumetumia pesa kununua unga ya duka coz tunalima mahindi kijijini kwetu. Hata hizo mboga unayotaja ni vivyo hivyo. Ninyi mnafikiria hii dunia huzunguka tu Tanzania pekee yake!
 
Back
Top Bottom