Wameshangaa na ushamba wako ju hizo ni vitu wamezoea.Wenzako walikuepo sasahiv na wamesanda we unaleta maneno matupu.?
Usikaite hako kanyang'au mzee aisee tafadhali.Hujielewi we mzee...
Wewe nawe unakuanga na desperation ya kifala sana. Jengeni na mupange jiji lenu muondoe nyumba za uswazi zilizotapakaa kila mahalinaskia hizo housing zimepata 4 people only
View: https://www.instagram.com/p/DXE4WEZDMf3/?e=27087289-6a6f-4397-a40c-807a46be7586&g=5
MY TAKE
Ni upumbavu kuruhusu jambojet kuja Dar huku wakiwa na partnership na PW na pia KQ flies to Dar! TCAA inabidi wawakatalie! Aidha wakitaka basi wajiondoe PW ili kuweka fair competition!
Eeee😂😂😂Hapo ni Dar?
🤣🤣🤣
Talanta haitajengwa mark my words 🤣 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣