Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
sio mimi kuona hizi ni factsKama unaona Kenya ina maendeleo kuliko Tz mm ni nani nikupinge kiongozi![]()
sio mimi kuona hizi ni factsKama unaona Kenya ina maendeleo kuliko Tz mm ni nani nikupinge kiongozi![]()
Wakenya kwa jinsi historia yenu ilivyo hata mngepelekwa Eden mngeandamana tu, natania tuuwakenya wakaletwa tanzania wanapata sababu kama elfu moja za kuandamana huko KAMA KATIBA MPYa etc
watanzania hadi kwa kujielewa bado mko chini sana










Niambie ni ngapi zinakidhi viwango hapa, if at least kuna barabara haya maeneoKwa maendeleo tuliyofikia kwa ss East Africa hii barabara haikidhi viwango, samahani lkn kama nimekukwaza.View attachment 2562583
So this one bridge ndio unaongelea? Mombasa has many bridges than Dar and Mwanza combined.Nimesema mmejaribu kwasababu sisi huku kwetu tuna madaraja marefu kuliko hilo Boss, mfano hili hapa ni Magufuli bridge ambalo ni mara mbili ya hilo lenu kwa urefu. Hilo lenu ni 1.4km ila hili 3.2km samahani lkn kama nimekukwaza.View attachment 2562622View attachment 2562625
🤣🤣😂🤣🤣Kenyas mobile money transactions are larger than Tanzanias GDP
View attachment 2562630
Endelea kujifariji....watanzania hadi kwa kujielewa bado mko chini sana
Kama inakufanya ujisikie happy ni vzr mana binadamu tunatofautiana, wengine wakijiliwaza ndiyo huishi maisha marefuSo this one bridge ndio unaongelea? Mombasa has many bridges than Dar and Mwanza combined.







Ndiyo maana nikasema samahani kama nimekukwaza.Niambie ni ngapi zinakidhi viwango hapa, if at least kuna barabara haya maeneo View attachment 2562626View attachment 2562627View attachment 2562636View attachment 2562638View attachment 2562639View attachment 2562641
That's the fact kijana. You list all the bridges in Dar plus Mwanza alafu I'll list for you all the bridges in Mombasa, utapata Mombasa has more😂😂🤣Kama inakufanya ujisikie happy ni vzr mana binadamu tunatofautiana, wengine wakijiliwaza ndiyo huishi maisha marefu![]()
Nimekukubalia kiongozi, mana nnaweza nikaweka bridges hapa alafu wewe ukaweka vitu tofauti na bado ukadai ushindiThat's the fact kijana. You list all the bridges in Dar plus Mwanza alafu I'll list for you all the bridges in Mombasa, utapata Mombasa has more![]()







Hawa nyang'au ni wapuuzi kweli kweli.🤣Nimekukubalia kiongozi, mana nnaweza nikaweka bridges hapa alafu wewe ukaweka vitu tofauti na bado ukadai ushindi![]()
Unaweza kunitajia top 3 ya hizo ranking? Au weka link mana nyie ndugu zetu kwa janja janja hamjambo, nataka kuwajua top 3.Kenyas mobile money transactions are larger than Tanzanias GDP
View attachment 2562630
Waswahili wanakuambia mjinga mpe jibu linalompendeza masikioni mwake mana ukimuambia ukweli hamtoelewanaHawa nyang'au ni wapuuzi kweli kweli.![]()




Au sio?Waswahili wanakuambia mjinga mpe jibu linalompendeza masikioni mwake mana ukimuambia ukweli hamtoelewana![]()
Huyo huwa anapuuzwa tu kaka..🤣🤣. Alishawahi kulinganisha mfereji wa kilimo cha umwagiliaji kwa jina la Thiba dam vs JNHP.. asa ndio utamuweza.? 🤣 Hiyo dam yenyewe ni haka ka pond 🤣🤣 👇Nimekukubalia kiongozi, mana nnaweza nikaweka bridges hapa alafu wewe ukaweka vitu tofauti na bado ukadai ushindi![]()
Hizo horticulture zinawasaisidia nini kama mnakufa na njaaMwambie. Ukanda huu hakuna nchi inaingiza pesa nyingi kwa horticulture kushinda Kenya
Wakati mwingine ni kumuacha mtu apate faraja mana huwezi juwa wengine wanachukulia serious kiasi gani haya mambo, usikute mwengine anashindwa hata kula akibaini nchi yake imezidiwa sehemu fulani na nchi jirani, sasa ikifika huko ni bora kumuachia furaha yake.Huyo huwa anapuuzwa tu kaka... Alishawahi kulinganisha mfereji wa kilimo cha umwagiliaji kwa jina la Thiba dam vs JNHP.. asa ndio utamuweza.?
Hiyo dam yenyewe ni haka ka pond
![]()
View attachment 2562667View attachment 2562668View attachment 2562670.. sa ndio utamuweza huyo.?
Nimezipata japo si kwa undani sana, ni hizi hapa.Unaweza kunitajia top 3 ya hizo ranking? Au weka link mana nyie ndugu zetu kwa janja janja hamjambo, nataka kuwajua top 3.