Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sababu ni haki yetu kuandamana kama bei ya unga iko juu
Sasa wewe unataka bei ya unga iwe chini wakati hamjalima wala kuwekeza kwenye kilimo wala miundombinu yake mnachekesha sana. Lazy thinking lazy hata kwenye kilimo.
 
Kuna jamaa wao mmoja nilimuuliza jana the same thing atuambie bei ya unga, mafuta na sukari huko kwao tulinganishe na bei zetu. Bado nangoja jibu lake hadi saa hii
70% ya watanzania wanaoishi vijijini huwa hawañunui Vyakula. Tanzania Ugali sio "staple food" katika maeneo yote ya nchi, kwahiyo hata Kama bei ya unga ikipanda, sio tatizo la nchi nzima.

Hivi Sasa huku kijijini ninakoishi, ndoo Moja ya mahindi iliyojaa ambayo ni sawa na 23Kg ni Tshs 16,000. Ukiamua kusaga bila kukoboa utapata 23kg, bei ya kusaga ni 2000.

Kwahiyo utapata 23kg kwa Tshs.18000. Huko mjini lazima bei itaongezeka kutokana na gharama za usafiri na overheads costs zingine.

Sasa Kama 70% ya watanzania wanaoishi vijijini, na kati ya hao wanaoishi vijijini 60% hawategemei kununua mahindi, badala yake hujilimia chakula Chao, kupanda na kushuka kwa bei za Vyakula mijini hakuna athari kubwa kwa watanzania wengi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Maua tunauza kisha tunanunua mahindi. The thing is, kilimo ya mahindi has low ROI ikilinganishwa na mazao mengine kama za horticulture. Ndio maana tunakuja maua na mimea zingine na kutumia pesa tunayopata kununua mahindi
Mzungu gani ananunua maua sasa hvi??🤣
Mzungu anatumia arable land kupanda maua kenya alaf anawaacha wakenya wanakufa njaa🤣🤣🤣🤣🤣

Tokea covid munamuuzia nani maua👇
 
Sasa wewe unataka bei ya unga iwe chini wakati hamjalima wala kuwekeza kwenye kilimo wala miundombinu yake mnachekesha sana. Lazy thinking lazy hata kwenye kilimo.
Kenya inapata pesa nyingi kwa kilimo kushinda Tanzania
 
Maua tunauza kisha tunanunua mahindi. The thing is, kilimo ya mahindi has low ROI ikilinganishwa na mazao mengine kama za horticulture. Ndio maana tunakuja maua na mimea zingine na kutumia pesa tunayopata kununua mahindi
Sasa mbona hata foreign reserve ya kuwatosha hakuna Kenya?. Mbona msiuze hayo maua na chai mkapata pesa ya kutosha mkaweka "subsides kwa vitu muhimu kama mafuta, umeme na chakula Ili kupunguza gharama za maisha?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hebu tuletee bei ya unga Tanzania tulinganishe. Na ufahamu mwaka jana tumekua na kiangazi ndo maana ukulima wa mimea kama mahindi ulitatizika
Alafu wakenya waliacha kukuza mimea ya kipuzi kama mahindi unless iwe large scale. Unapata inakugharimu around 2000 kukuza mfuko moja wa 90kg kisha uiuze 2500 baadae ya miezi 7. Mahindi haina faida kenya, wakulima wengi wanaona heri kukuza mimea ina faida kama horticulture kisha wanunue mahindi ya matumizi yao kutoka kwa wakulima wengine
Sasa kwann mnapanic bei kua juu na hamlimi nyie?what's the point?
Uyo anaelima hayo kidogo atawauziaje kwa bei mnayotaka nyie na ushasema hayana faida?
Apo suluhisho ni kulima mahindi,sio kwasababu ya kutafuta faida ni kwasababu ndio chakula kikuu mnachokitegemea..


Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Bei ya unga inatofautiana na eneo
Mfano Sehemu ninayoishi Unga sembe 1kg ni 1800 na unga wa mahindi yasiokobolewa ni 1700 kwa kg..Tshs

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Unga 1kg kenya sasa hivi ni around 100-110ksh ambayo ni between 1700-1800 pesa za Tanzania. Sukari 1kg around 140-160( 2400-2800tsh). Mafuta ya salad 5L 1300-1600(22-27k tsh)
 
Nairobi Megapolis one and only Megapolis in East and Central Africa
1679567346794.png

1679567444609.png
 
Bei ya unga inatofautiana na eneo
Mfano Sehemu ninayoishi Unga sembe 1kg ni 1800 na unga wa mahindi yasiokobolewa ni 1700 kwa kg..Tshs

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Tunanunua unga karibia bei moja na wadanganyika alafu unasema sisi hatufai kuandamana. Wakenya ni matajiri kuliko wadanganyika. Nyinyi bakini kwa umaskini wenu na kunyamazishwa na CCM
 
Unga 1kg kenya sasa hivi ni around 100-110ksh ambayo ni between 1700-1800 pesa za Tanzania. Sukari 1kg around 160( 2700-2800tsh). Mafuta ya salad 5L 1300-1600(22-27k tsh)
This poor souls from danganyikaland cannot afford unga huko kwao but they cannot protest because of CCM ruthlesness na uoga mingi ya ujamaa
 
Hakuna siku dollar itakua currency ya mwanaichi wa kawaida kulipa bills. Soma article najua hulelewi kizungu
Jurisdiction ya Kenya why pay bills in dollars ama nchi imeshawashinda muanze ku print noti zenye expiry dates. Aliesema Kenya worse than Zimbabwe hakukosea.
 
Back
Top Bottom