Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilivyokuwa nakwambia hayo yote nilikua najua kabisa kwamba mpo wakenya mnaolima, lakini kwa Tz ni case tofauti kabisa kwasababu asilimia zaidi ya 70 ya watanzania wote ni wakulima tu na Ardhi ya Tz karibu yote inafaa kwa kilimo .. ni ngumu kukuta huku watu wanaandamana kwasababu ya msosi mzee..
Watu hawaandamani kwa sababu ya unga. Watu wanaandamana kwa sababu ya gharama ya juu ya maisha just like it happens in many countries across the world. Gharama ya juu ya maisha encompasses many things.
 
No wonder Tanzanian farmers are poor. Maize has no benefit to farmer, Geri nipande miraa kuliko mahindi.

lazy bones hakuna mnachoweza ninyi vichaa zaidi ya kutaka serikali iwape chakula cha bure chenye subsidy, pumbavu ninyi

mngeongoza basi kwenye hayo mazao yenye pesa
 
😂😂😂😂😂 Hawa watu sijui ilikuaje wakamiliki smartphone 😂😂😂 ni wapumbavu wa mwisho
Badala atunze hiyo hela kesho kutwa Jumatatu imfae anunue maji kupozea teargas, yeye ameweka bandle kuandika upuuzi mitandaoni, what a westage of resources .? 🤣🤣
 
Ona dunia inavowaumbua sasa 🤣🤣 mbona hzi walisahau makeup na filter

Kama sio mikojo ni nn hii??🤣🤣🤣
View attachment 2562819

Wewe ni mjinga sana tena desperate. Yani flooding ambayo hufanyika hata huko uswazini kwenu ni kitu cha kupost hapa? Ama unataka nikuletee barabara zenu zikifurika maji hata PA kukanyaga hakuna?
 
lazy bones hakuna mnachoweza ninyi vichaa zaidi ya kutaka serikali iwape chakula cha bure chenye subsidy, pumbavu ninyi

mngeongoza basi kwenye hayo mazao yenye pesa
Kwani which country sells more miraa than Kenya?
 
Badala atunze hiyo hela kesho kutwa Jumatatu imfae anunue maji kupozea teargas, yeye ameweka bandle kuandika upuuzi mitandaoni, what a westage of resources .? 🤣🤣
Baboon siku hizo watu hawatumii bundles😂😂😂
 
Kenyans are not fighting for Unga in real sense. When Germans went to the street to demonstrate for bread did they mean the real bread? In this case Unga or bread means the overall cost of living.
usifananishe Germany na shithole yenu mzee, watu wanakufa njaa kunyaland na symbol kubwa kwenye demonstrations zenu ni masufuria, means njaa, unga buku Jero mnaandamana? 😂😂😂😂 mna akili kweli ninyi vichaa?
 
Watu hawaandamani kwa sababu ya unga. Watu wanaandamana kwa sababu ya gharama ya juu ya maisha just like it happens in many countries across the world. Gharama ya juu ya maisha encompasses many things.
Nicxie wewe ni mbishi sana, anyway heb jaribu kubishana na Erick pia 👇.
 
mawazo yangu yote unga kilogram 1 mnauziwa elfu 5 kumbe ni 1.5k ndio inafanya muandamane? purchasing power yenu ipo vizuri 😂😂😂
Kenyas purchasing power is higher than Tanzanians by far. That's why we more malls than any country in Sub Saharan Africa outside South Africa.
 
Hili suala tulitakiwa tufanye wote kwa pamoja mataifa yote ya East Africa in the same day, sio wengine kumuachia mmoja atangulie afu sisi wengine tusubiria tuone hali ikoje. Hili suala la homosexuality Africa tunafeli sana
 
Back
Top Bottom