Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aliyekuambia wakenya hawalimi mahindi kwa minajili ya matumizi ni nani? Tangu nikiwa mtoto hakuna siku tumetumia pesa kununua unga ya duka coz tunalima mahindi kijijini kwetu. Hata hizo mboga unayotaja ni vivyo hivyo. Ninyi mnafikiria hii dunia huzunguka tu Tanzania pekee yake!
Nilivyokuwa nakwambia hayo yote nilikua najua kabisa kwamba mpo wakenya mnaolima, lakini kwa Tz ni case tofauti kabisa kwasababu asilimia zaidi ya 70 ya watanzania wote ni wakulima tu na Ardhi ya Tz karibu yote inafaa kwa kilimo .. ni ngumu kukuta huku watu wanaandamana kwasababu ya msosi mzee..
 
Mahindi hayana faida wakati mnaandamana kulalamika unga ushuke bei! unga unatengezwa na nini? hivi Wakunya reasoning yenu mbona ipo low sana?
No wonder Tanzanian farmers are poor. Maize has no benefit to farmer, Geri nipande miraa kuliko mahindi.

 
Viazi kenya hulimwa sana hadi zingine huozea mashambani. Mchele ata nyinyi wenyewe mnaimport
Ukiiona kenya nipo paleeee

1679580961265.png
 
Halafu bado mnataka kupindua serikali kisa buku Jero 😂😂😂😂
Kenyans are not fighting for Unga in real sense. When Germans went to the street to demonstrate for bread did they mean the real bread? In this case Unga or bread means the overall cost of living.
 
Kenyans are not fighting for Unga in real sense. When Germans went to the street to demonstrate for bread did they mean the real bread? In this case Unga or bread means the overall cost of living.
Sijui hua munapata faida gani kudanganya🤣
 
Nicxie ifikie hatua mukubali madhaifu yenu dunia ishabadilika tena hakuna uongo utakawasaidia kwa sasa 👇👇👇👇

 
Nicxie chukua huh mfano
Screenshot_20230201-211941_1.jpg
hiki kijiji kinaitwa KWAMKONO, kipo Mkoani Tanga wilaya ya Handeni, siku za nyuma kidogo nilikua nikifuata Mbuzi hapo, Ili nilete DAR kwaajili ya biashara.. lakini nilikuta chakula sio tatizo kabisa, Kg 1 ya nyama ya ng'ombe ni Tz sh 3000 while in Dar es salaam nyama inauzwa kilo moja 9k .. kila aina ya chakula kwenye hiki kijiji bei yake ipo chini mara tatu tofauti na bei unavyoweza kuikuta DAR,

My take: Tz karibu yote inalimika, inafaa kwa ufugaji, kwahyo ni ngumu sana kukuta waTz wanaandamana eti kwaajili ya chakula, kwasababu tuliowengi zaidi ya 70% hatununui chakula watu wanapanda wanalima wanakula,

Na ndio maana serikali yetu ikaonelea ya kwamba tutoke sasa kwenye kilimo kwaajili ya hizi basic demands, tuongeze kilimo kwaajili ya utajiri/pesa.. Eneo kubwa limetengwa kufanya kazi hiyo

Tunavyoongea hivi sasa vijana wanapewa Ardhi huku buree, hekari kumi kila mtu wamiliki ndani ya miaka 66 ... Kwaajili ya kilimo biashara .. pita hapa 👇. . sijui unasubir nini usiebadilisha uraia.. wacha ujinga mdogo angu 🤣
 
Back
Top Bottom