Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo munamsifia mchina ww ndio mkenya wa kwanza kumsifia mkenya huku wachina wanaekeza kwenye viwanda
Hicho ndicho kitu ambacho Wakenya wakija kustuka itawa cost sana kwa maoni yangu, huwezi kusifia majengo ilihali nchi zetu zinahitaji viwanda, barabara, hospitali, madaraja, reli n.k. majengo yanatakiwa yafuate baada ya kuwa vizuri kwenye hizo idara.
 
Watanzania hamna furaha ila huku mnajifanya
FB_IMG_16795192601412792.jpg
 
Jurisdiction ya Kenya why pay bills in dollars ama nchi imeshawashinda muanze ku print noti zenye expiry dates. Aliesema Kenya worse than Zimbabwe hakukosea.
stop lying wakati mtanzania akipata pesa ya kenya nkama amepata dollar. mtanzania Heri alale kwa barabara akijifanya kilema Kenya ili apewe tu mashillingi ya kenya yenye thamana
 
Sasa mbona hata foreign reserve ya kuwatosha hakuna Kenya?. Mbona msiuze hayo maua na chai mkapata pesa ya kutosha mkaweka "subsides kwa vitu muhimu kama mafuta, umeme na chakula Ili kupunguza gharama za maisha?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Subsidies zilikuwepo kipindi kizima cha Uhuru Kenyatta. Ruto alipoingia tu hivi the first thing he did was to lift subsidy on fuel. This resulted in high fuel prices which affected the prices of all basic commodities.


Ndio maana unaona hizi maandano
 
Hakuna siku dollar itakua currency ya mwanaichi wa kawaida kulipa bills. Soma article najua hulelewi kizungu
Huko Central Bank hakuna pesa za kigeni za kuwatosheni kufanya biashara. Kumbuka miradi mingi ya maendeleo hutumia pesa za kigeni, hamuwezi kulipa deni la nje kwa kutumia pesa ya ndani, hapo ndipo tatizo la Kenya linapoanzia.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kama hiyo barabara imebanana zile vichorochoro vya uswazini Dar tutaitaje?

Utaitaje barara ya lanes nne kwamba imebanana?
Kwa maendeleo tuliyofikia kwa ss East Africa hii barabara haikidhi viwango, samahani lkn kama nimekukwaza.
tapatalk_-1116527985_384x512.jpg
 
Didn't I say it's promotion? Ama haukunielewa? Timu inaweza fanya promortion with any entity, as long as both parties have agreed. Arsenal are promoting Fly Emirates and Rwanda on their Jersies. Tottenham Hotspur are promoting AIA Group Ltd on their Jersies while Liverpool are promoting Standard Chartered bank as so on and so forth
Halafu utajitetea eti hiyo ni typo🤣😂😂
 
Unga 1kg kenya sasa hivi ni around 100-110ksh ambayo ni between 1700-1800 pesa za Tanzania. Sukari 1kg around 140-160( 2400-2800tsh). Mafuta ya salad 5L 1300-1600(22-27k tsh)
Kumbe bei ni sawa na huku kwetu, sasa iweje wenzetu huko mnasema maisha yapo juu ilihali huku kwetu hatulalamiki? Je hapo jirani zetu mnaitendea haki ile status ya nchi za uchumi wa kati?
 
Huyu jamaa alivyoanza kuponda wasanii wengine kwenda kenya kufanya show na kupata chapaa ndio ubaguzi ukaanza muingia vizuri.
Sasa hivi anatumia umaarufu wake vibaya hata kama mnaandama kwa nini aseme hadi mfe, hapo hamna maandamano ya amani ni chuki juu ya chuki.


Safari sijui nani atakuja kuwatetea ngoja kiwake dawa yenu kufungiwa mipaka maana hamjifunzi mliyopata 2007

Wanasiasa sio wa kuwaamini wao wanataka madaraka at any cost

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe bei ni sawa na huku kwetu, sasa iweje wenzetu huko mnasema maisha yapo juu ilihali huku kwetu hatulalamiki? Je hapo jirani zetu mnaitendea haki ile status ya nchi za uchumi wa kati?
Jaribu kuandamana uone utakachofanywa na CCM
 
Subsidies zilikuwepo kipindi kizima cha Uhuru Kenyatta. Ruto alipoingia tu hivi the first thing he did was to lift subsidy on fuel. This resulted in high fuel prices which affected the prices of all basic commodities.


Ndio maana unaona hizi maandano
Aliondoa kwasababu" it is not sustainable", hakuna nchi yoyote hapa Africa yenye kuweka sudsidy kwenye chakula na mafuta kwa kipindi Cha zaidi ya miezi sita, 40% ya imports za nchi ni mafuta.

Sasa jiulize, pamoja na kuondoa subsidy lakini bado Kenya inakumbwa na upungufu wa pesa za Kigeni, hali ingekuaje Kama angeweka hiyo subsidy?.

Tatizo lenu Kenya ni "low productivity" katika sectors zote kuanzia kilimo, manufacturing sector na maeneo mengine, matokeo yake Kenya imegeuka kuwa ni nchi ya kutumia "Consumption economy".

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom