Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌 tulisema lamu ni white elephant sasa na hii tulitabiri pia



 
Unawapangia taasisi binafsi wawekeze wapi? Umekuwa mzee Mwendazake wa Chato?
Nilijaribu tu kuwaza kulingana na distribution zones zao. Ndio nikauliza kwanini viwanda viwili ndani ya zone moja!?
 
Jameni tufunge mipaka Hawa watu watatuua
fb://photo/10158653615344058?set=a.80240814057&mibextid=Nif5oz
 
Mechi ikitangazwa wanasema Simba from Tanzania
emoji1241.png
na pia bendera ya nchi inapepea uwanjani na mashabiki hujua kuwa hii timu imetoka Tz na kuanza kufuatilia Tz in that sense.
Didn't I say it's promotion? Ama haukunielewa? Timu inaweza fanya promortion with any entity, as long as both parties have agreed. Arsenal are promoting Fly Emirates and Rwanda on their Jersies. Tottenham Hotspur are promoting AIA Group Ltd on their Jersies while Liverpool are promoting Standard Chartered bank as so on and so forth
 
Barabara zipo Boss ila ni za kubanana sana pia ni za kiwango cha chini sn, ila hamna shida nimekuelewa mkuu.
Kama hiyo barabara imebanana zile vichorochoro vya uswazini Dar tutaitaje?

Utaitaje barara ya lanes nne kwamba imebanana?
 
Part of Lang'ata estate with Wilson Airport runway in the background. Kuna airport fulani imezungukwa na uswazi kila corner 😂

IMG_20230322_100410~3.jpg
 
Sasa jiulize tena,mnatengeneza pesa nyingi mbona bei ya unga iwe issue?(sema wanatengeneza wakubwa pesa SIO TUNA)

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hebu tuletee bei ya unga Tanzania tulinganishe. Na ufahamu mwaka jana tumekua na kiangazi ndo maana ukulima wa mimea kama mahindi ulitatizika
Alafu wakenya waliacha kukuza mimea ya kipuzi kama mahindi unless iwe large scale. Unapata inakugharimu around 2000 kukuza mfuko moja wa 90kg kisha uiuze 2500 baadae ya miezi 7. Mahindi haina faida kenya, wakulima wengi wanaona heri kukuza mimea ina faida kama horticulture kisha wanunue mahindi ya matumizi yao kutoka kwa wakulima wengine
 
@Choice Variable , Jamaa zako hao wanaendelea na fujo zao. Never trust these people in anything.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nyinyi ni viumbe vya ajabu sana. Tanzania ikizuia bidhaa za Kenya kuingia ndani ya nchi yenu inakuwa eti mnalinda soko lenu na kucaution local farmers. When Kenya does the same eti Kenya wanazozana na majirani zake. Hivi, hamchoki?
 
Hebu tuletee bei ya unga Tanzania tulinganishe. Na ufahamu mwaka jana tumekua na kiangazi ndo maana ukulima wa mimea kama mahindi ulitatizika
Kuna jamaa wao mmoja nilimuuliza jana the same thing atuambie bei ya unga, mafuta na sukari huko kwao tulinganishe na bei zetu. Bado nangoja jibu lake hadi saa hii
 
Kuna jamaa wao mmoja nilimuuliza jana the same thing atuambie bei ya unga, mafuta na sukari huko kwao tulinganishe na bei zetu. Bado nangoja jibu lake hadi saa hii
Sukari 1kg 2300,unga 1800kg na mafuta ya alizeti lita moja ni 5000-6500 (tshs)

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Hebu tuletee bei ya unga Tanzania tulinganishe. Na ufahamu mwaka jana tumekua na kiangazi ndo maana ukulima wa mimea kama mahindi ulitatizika
Kwanini kiangazi kiwatatize wakati mpo na pesa nyingi, kwanini msijenge miundombinu ya umwagiliaji Kama wafanyavyo Egypt na sisi Tanzania?.

Yaani sisi tumewazidi kwa mbali Sana katika ukubwa wa eneo la umwagiliaji, pamoja na kwamba hatuna tatizo kubwa la kiangazi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kuleni maua na salads maandamano ya nini sasa kumbe kilimo mpo vizuri
Maua tunauza kisha tunanunua mahindi. The thing is, kilimo ya mahindi has low ROI ikilinganishwa na mazao mengine kama za horticulture. Ndio maana tunakuja maua na mimea zingine na kutumia pesa tunayopata kununua mahindi
 
Back
Top Bottom