Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa unataka kulazmisha uongo uwe ukweli au 🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna siku ukweli itageuka iwe uongo. Your sgr was not financed by the Turkish government alone. You received a further $1.4b loan from the Standard Chartered bank to finance the project na hii hapa ni taarifa ya Standard Chartered wenyewe from their own website

Continue living in denial bongolala as you always do
 
Kenya wanashindwa kununua unga wa ugali tu, leo hii waweze kuwa na magari!!! 🤣 🤣 🤣
Hatuna uwezo wa kununua magari ila Kenya kuna magari mengi kuliko Tanzania na zote ni za watanzania
 
You gotta love Nairobi
FmU5P0KWIAAC4v1.jpeg
images - 2023-02-01T012458.349.jpeg
 
Kuhusu Hawa wakulungwa Investing in US na Maeneo mengine Yanayoruhusu wageni kuwekeza au kununua nyumba na kupata Green card, hawa wakulungwa wanafanya kufuru. Ni shidaa.
US kuna ile EB 5 Visa ambayo inamtaka mtu awekeze at least dola 800,000 na kutengeneza 10 full time permanent Jobs for Americans . Nimewahi Piga day worker kampuni moja inaitwa AUCAN Link hii inahamisha wachina wenye hela kwenda Australia, US, Canada ni shidaaa.

BTW nimekaa Shanghai Miaka 4 na niliwahi shuhudia mdahalo kama huu hapa huo ulikua kati ya wao kwa wao
Japanese na Chinese (mtambue hawapendani) huu utani wa Kundustan na Bongo (chuki) ukasome. So endeleeni kudondosha madini mtajifunza kitu .

Mimi nikiwa Kijana mpaka sasa hivi nimejitahidi kutangaza chochote cha Bongo kila nilipofanikiwa kupita

Hapa nikiwa Xuhui district Shanghai, Eneo linaitwa Xujiahui .

View attachment 2501933
Ndio maneno yenyewe haya. Hapa ni ushahidi wa uhakika maana mtu ameishi.

Chuki ya Mchina na Mjapan haiwezi kuisha kwa kile China ilichofanyiwa na Japan kipindi cha ww2 walipigwa vibaya mno, kuteswa, kuharibiwa mali,miji na maisha yao.

Kuna mji unaitwa Nanjing wanawake(wachina) walibakwa na kuuawa wengi sana.

Sasa tufanyeje ili sisi Afrika -Tanzania tuwe na miji mizuri kama wao? Wao waliweza sisi tunashindwa wapi?
 
I lived in China (Shanghai) for 5 years and travelled all over the country. I've also lived in England (London and Leeds) and in several cities in the US including Chicago. I've travelled to pretty much every continent from Rio to Paris to Singapore.

When it comes to tall shiny new buildings and infrastructure in general (Road, Rail, Airports...) China wins hands down. No other country comes close in terms of scale. However there is more to a city than just tall soulless new buildings with zero character(cough, cough Dubai).

With that in mind there is no city in China that comes even close to the likes of Paris, Barcelona, Amsterdam, New York, Chicago, Tokyo...
Maneno mengine haya yanazidi kuja. Wengine mlioishi majuu kujeni mtujuze, sisi hatuna upande mwenye haki yake atapewa.
 
Nafikiri baada ya world war, Germany ilifungiwa kwa sheria za kimataifa kuhusu utengenezaji wa silaha na mambo mengine.
Ni kweli mambo mengi ya silaha na teknolojia yalikuwa chini ya unagalizi. Hata Japan hakuruhusiwa pia kutengeneza silaha na jeshi bila ya uangalizi wa US.
 
Ni kama baada ya kula nanasi halafu unywe maji .. hizi maneno sijui ultra modern facity, sijui world class what not.. me naona tuachane nazo tu .. Africa tuko na safari ndefu sana asee
Me bado nina swali waliwezaje na sisi tunashindwaje?
 
Back
Top Bottom