Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jmosi nilikuwa Tanga pale Katani Hotel tulikuwa tunagonga vyombo mara STL v8 tatu zikaingia jamaa sita wakakaa jirani yangu na masuti yao mara nikawa nachungulia jamaa wazama hadi kwenye uzi na wachangia humu JF kuna watu na nyazifa zao bila shaka
Uzi wetu huu si mchezo aisee, una viewers 20m View attachment 2500944
 
Jumlisha wote hawawezi kufikia china
UstNFnoWyiCpBUXgQ_s6iyqgoNhIZe_IxENIiFF5eyw.png
Excuse yao ni hii

"Wachina wapo wengi"
 
Wew jamaa unapelekeshwa na propaganda za wamagharibi...

China imeendelea mzee tena sana...lakin kwa sababu ya siasa zao na kuonekana na misimamo yao...Western inawaunderate...

Ni kama kenya tu...hakuna chochote kule ni umaskini mtupu zaidi ya 50% lakin kwa sababu wameamua kuwa vibaraka wa wazungu..Western ina warate vzr kimataifa...

Too deep...watu wa US wanawaogopa sana wachina...kwa sababu kwanza wamewekeza sana huko US hasa kwenye biashara nyingi za kati kuliko hata wazawa....

Kuhusu Hawa wakulungwa Investing in US na Maeneo mengine Yanayoruhusu wageni kuwekeza au kununua nyumba na kupata Green card, hawa wakulungwa wanafanya kufuru. Ni shidaa.
US kuna ile EB 5 Visa ambayo inamtaka mtu awekeze at least dola 800,000 na kutengeneza 10 full time permanent Jobs for Americans . Nimewahi Piga day worker kampuni moja inaitwa AUCAN Link hii inahamisha wachina wenye hela kwenda Australia, US, Canada ni shidaaa.

BTW nimekaa Shanghai Miaka 4 na niliwahi shuhudia mdahalo kama huu hapa huo ulikua kati ya wao kwa wao
Japanese na Chinese (mtambue hawapendani) huu utani wa Kundustan na Bongo (chuki) ukasome. So endeleeni kudondosha madini mtajifunza kitu .

Mimi nikiwa Kijana mpaka sasa hivi nimejitahidi kutangaza chochote cha Bongo kila nilipofanikiwa kupita

Hapa nikiwa Xuhui district Shanghai, Eneo linaitwa Xujiahui .

IMG_5015.jpg
 
Nani alikudamganya hayo maneno hakuna pesa ya mturuki hata senti moja imefadhili reli hii acheni kudanganyana 🤣🤣🤣
Unafikiri dunia ya leo unaweza danganya mtu? Maybe mibongolala wenzako

Unafikiri dunia ya leo unaweza danganya mtu? Maybe mibongolala wenzako

Ukipata official source tanzania imekopa pesa uturuki au mturuki kaweka pesa yake kwenye SGR nitag plz nifunge acc 🤣🤣🤣 munapata presha bure kabisa
 
I lived in China (Shanghai) for 5 years and travelled all over the country. I've also lived in England (London and Leeds) and in several cities in the US including Chicago. I've travelled to pretty much every continent from Rio to Paris to Singapore.

When it comes to tall shiny new buildings and infrastructure in general (Road, Rail, Airports...) China wins hands down. No other country comes close in terms of scale. However there is more to a city than just tall soulless new buildings with zero character(cough, cough Dubai).

With that in mind there is no city in China that comes even close to the likes of Paris, Barcelona, Amsterdam, New York, Chicago, Tokyo...
 
Kumbe huwa ni lazima.
Unaweza kukataa kwa utaratibu lkn sio kwa namna ya kuonyesha unakataa teuzi/wito wa Rais hasa kwa umma wote kujua umekataa.
Hapo kukataa kwao kwa utaratibu ungesikia 'Rais katengua uteuzi wa flan na flan'. Hata juzijuzi exboss wa TISS alikataa post mpya ndo mana ukasikia uteuzi wake umetenguliwa
 
Tuambie sasa. London inaizidi nini Shanghai?
 
Unaweza kukataa kwa utaratibu lkn sio kwa namna ya kuonyesha unakataa teuzi/wito wa Rais hasa kwa umma wote kujua umekataa.
Hapo kukataa kwao kwa utaratibu ungesikia 'Rais katengua uteuzi wa flan na flan'. Hata juzijuzi exboss wa TISS alikataa post mpya ndo mana ukasikia uteuzi wake umetenguliwa
Kwa hiyo unatakiwa uapishwe kwanza kisha utenguliwe
 
Back
Top Bottom