Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila facility ndani ya Shenzhen sio ya kawaida and u can never get those levels in the western world .. Shenzhen airport .. 👇
airport-banner-wap2.jpg
economicdaily__china_1650710858829792.jpg
economicdaily__china_1650710858829589.jpg
economicdaily__china_1650710858829425.jpg
.. NairobiWalker njoo usafishe macho kidogo halafu I dare you uniletee this kinda facity outside china..
 
Good observation

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app

Kuna comment sehemu nimesema I always Respect the Germans, they are just quiet unaona tu matokeo
Ukizungumzia Technology kwenye hii dunia basi the Germans are the Legends,
Watu wamekaa lab kwa Karibu karne kadhaa wakachora mkeka wote , halafu leo wanaibuka watoto toka huko Asia wanacopy na ku-paste halafu vijana humu wanataka tuwape credit ? For selling cheap products to Africa ?
Mkubwa apewe heshima yake.
Ll
 
Ndio nakwambia, hapo shenzen ukiangalia nyumba ya kawaida ya mwananchi na ulinganishe na Munich Germany kwa mfano ndio utaelewa kwa nini nakwambia miji ya China bado sana kwa Europe.
Sasa mzee picha zote tunazokuonesha Skyscrapers za kumwaga unauliza nyumba ya mwananchi? Mzee unataka tukuoneshe nini?
drone-view-of-housing-in-shenzhen-china.jpg
 
Kuna comment sehemu nimesema I always Respect the Germans, they are just quiet unaona tu matokeo
Ukizungumzia Technology kwenye hii dunia basi the Germans are the Legends,
Watu wamekaa lab kwa Karibu karne kadhaa wakachora mkeka wote , halafu leo wanaibuka watoto toka huko Asia wanacopy na ku-paste halafu vijana humu wanataka tuwape credit ? For selling cheap products to Africa ?
Mkubwa apewe heshima yake.
Ll
Germany ndio wanauza machine za kutengeneza machine uko China.
Germany ni moja ya nchi ambazo product zake ni genuine ukinunua ni mkataba hakuna janjajanja

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Guys hebu tuache michezo kabisa hapa tunaongelea kamji kadogo tu ndani ya china bado hatujawagusa akina
1. Shanghai
2. Beijing
3. Hangzhou
4. Chengdu
5. Guangzhou
6. Chongqing
7. Nanjing
8. Hong Kong
9. Xiamen
10. Xi An
 
85% ya tecnolojia ya Dunia imechangiwa na ujerumani
Kuna comment sehemu nimesema I always Respect the Germans, they are just quiet unaona tu matokeo
Ukizungumzia Technology kwenye hii dunia basi the Germans are the Legends,
Watu wamekaa lab kwa Karibu karne kadhaa wakachora mkeka wote , halafu leo wanaibuka watoto toka huko Asia wanacopy na ku-paste halafu vijana humu wanataka tuwape credit ? For selling cheap products to Africa ?
Mkubwa apewe heshima yake.
Ll
 
Germany ndio wanauza machine za kutengeneza machine uko China.
Germany ni moja ya nchi ambazo product zake ni genuine ukinunua ni mkataba hakuna janjajanja

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app

Germans wanauza machine za kutengeneza Machines
Hebu angalia hiyo BMW Factory ya Germany,
Halafu wanakuja wajinga wanasema kuna nchi za Asia zina technology kushinda Germany, Leave alone US.

Back
Top Bottom