Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This bus is beautiful
20230131_214318.jpg
 
Umechanganya madesa polisi ya tanzania ina unform tofauti kutokana na majukumu hizo ulizo weka hapo ni uniform za kimapigano au tuseme hizo ni combat uniform
Kwa kenya uniform za polisi wenu kimapigano ni gwanda la jeshi juu na chini sijui wanavaa kitu gani nimesahau yani ni kituko
 
Naona magari yote ni ya 5 yrs ago.. ama kweli kwa maneno 100 ya mkenya.. ondoka na neno moja, tena kwa tahadhari kubwa!
View attachment 2502263View attachment 2502264
Kenya ina magari chakavu na mikweche choka mbaya
Ndiyo maana watu wa nchi za africa wakija dar wanashangaa magari safi ...nakumbuka kuna mwaka wanajeshi wa india walikuja na kushangaa sana wakasema walipo sikia tanzania ni masikini wa 3 kutoka mwisho walijua ni nchi mbovu sana ila walipo fika wamekuta magari makali wakabaki midomo wazi hiyo ilikuwa miaka ya 1998 hivi rais alikuwa chegovala kikwete
 
We jamaa suala sio city suala ni standard of living...wewe kama unaishi Manzese pale mahali kuchafu unaanzaje kumtambia mtu anaeishi kijijini machame huko kwenye mjumba mkali wenye kila kitu na yuko kijijini?
Sasa angalia Maosha ya mjapani mmoja ni bora kuliko maisha ya wachina watatu kw wastani...

Mjapani mmoja anamaisha mazuri kuliko wachina 3

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Watu tunaoishi vijijini leo tumekumbukwa.

Kwanza kuna hewa safi, eneo kubwa la nyumba, vyakula ni fresh kabisa (mfano samaki anatolewa kwenye maji bado anacheza cheza huku nyinyi mnakula wa kwenye mabarafu wana zaidi ya mwezi 1.

Matunda ya kila aina unapata. Ila inategemea ni nchi gani kwa Tanzania karibu nchi nzima vyakula vyote unavipata.

Tunakunywa springs water.

Ila wakuu tusiache kulima na kufuga baadaye itakuwa deal sana, kama mtu huna shughuli nyingi town za kukulazimu uzisimamie angalieni na upande mwingine wa kilimo.

Babu zangu wote walikuwa wakulima na wafugaji sikuwahi kuwaona wanalia shida ya mahitaji mpaka wanakufa waliacha akiba ya pesa kwa watoto wao. Baba zangu waliokuwa wafanyakazi ni vichekesho vitupu.

Tuandae maisha ya uzeeni tukiwa vijana, umri unaenda na nguvu zinaisha.
 
Du haya magari watakuwa wakunya watakuwa wanaokota kwenye viwanda vya kusaga vyuma kule ulaya na asia.....yakiwa yamepelekwa kusagwa vyuma jamaa wanaya nunua kama chuma chakavu na kuyapeleka nchini kwao hadi nairobiyani kwenye huo msururu wa magari sijaona gari hata la kujisifia kuwa unamiliki gari
 
Sio sifa hata...ni moja ya indicator ya umaskini...


Mngekuwa na public transport nzr kama BRT, trams nk...na mkapunguza baadhi ya office na huduma muhimu kutoka CBD..msingepata traffic za namna hii...


Lakin sasa mtafanyaje...hela mlikopa sana mafisadi wakaila mkajenga miradi ya kujisifia mbele ya nchi nyingine badala ya kusolve matatizo ya nchi yenu..


I feel sorry for you
acha kuchosha akili, huna uwezo wa kufikiria
 
Unaona sasa ulivokua chizi 🤣🤣🤣 so rais wa turkey akija tanzania maana yake katoa pesa za SGR tanzania kaaah hvi shuleni munasoma kitu gani nyinyi

Yani nilijua walau umesoma kidogo hata unajielewa bro kumbe unaakili za kuvukia barabara tu 🤣🤣🤣🤣
Mimi sikusoma ila sipingani na ukweli kama wewe uliyesoma
 
Sio sifa hata...ni moja ya indicator ya umaskini...


Mngekuwa na public transport nzr kama BRT, trams nk...na mkapunguza baadhi ya office na huduma muhimu kutoka CBD..msingepata traffic za namna hii...


Lakin sasa mtafanyaje...hela mlikopa sana mafisadi wakaila mkajenga miradi ya kujisifia mbele ya nchi nyingine badala ya kusolve matatizo ya nchi yenu..


I feel sorry for you
Wewe bongolala wacha nye nye nye. Traffic jam hupatikana hata New York na London. Hata hapo Dar is slum foleni hupatikana so you are not making any sense at all!
 
Wewe bongolala wacha nye nye nye. Traffic jam hupatikana hata New York na London. Hata hapo Dar is slum foleni hupatikana so you are not making any sense at all!
Kenya wanashindwa kununua unga wa ugali tu, leo hii waweze kuwa na magari!!! 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom